leiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 657
- 1,559
Kutokana na uhitaji wa wataalamu katika nyanja mbalimbali za elimu, vyuo vingi nchini Tanzania vimeanzisha kozi kadhaa ili kukidhi uhitaji wa soko. Baadhi ya kozi zimekuwa zikipwaya sana vyuoni kutokana na kutojulikana kwa wengi hasa wahitimu. Baadhi ya kozi hizo ni :
- Bachelor degree in legal and industrial metrology - CBE DSM
- Bachelor degree in official statistics - E. A stat training centre DSM
- Bsc.prosthetics and Orthotics - KCMC
- Bachelor of law and sharia - MUM
- Bsc.Health Information systems - UDOM
- Bsc.meteorology - UDSM
- Bsc.multimedia technology and animation -UDOM