Baadhi ya wanawake na bikra

Sakayonsa

Member
Dec 30, 2015
99
44
Wakuu,

Poleni na majukumu ya kila siku,

Kwanza nitangulize samahani kwa dada zangu kwa kuzungumzia bikra ni hivi!

Kwa kweli mimi nakuwa bored sana haswa pale unapokiwa na demu alafu anaanza kujishebedua mara ooo mimi mwanaume sijui ataanzia wapi kunitongoza na sijui wewe nimekukubaliaje wakati huo huo bikra ilishatolewa kitambo huwa namdharau kabisa au anakwambia mimi siolewi mpaka harusi na kukulazimisha kumuoa kwa harusi wakati bikra yenyewe hana bikra watoe wengine harusi nifunge mimi.

Ninajua wengi wetu pengine lina wauzi kama mimi ila kumwambia unaona atajihisi hovyo mno.Nimacho taka kusema kama unajijua wewe ni msichana na upo ama umeokewa au na mchumba acha kujishenedua sana kuhusu hilo wakati hakukuta na bikra kwa kweli inaboa sana acha niseme haswa ukizingatia swali gumu kumuuliza ni vp ulitoa bikra hongereni wanawake mliojitunza na kuolewa bikra.
 
Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
No mahusiano muhimu ila usiwe na maneno mengi yatakayo leta maswali au mshangao kwa mwenzio silaumu ila fahamu hivyo
 
Hicho kitu kinachoitwa bikra mbona na kamshipa kadogo dhaifu kasiko na maana yoyote? In fact mwanamke akizidi miaka 20 bado ana hako kamshipa kanakoitwa bikra huwa namuona ni mgonjwa mchoyo mbinafsi au labda anatumia kule kwa shetani
 
Ndio limenitoka. wewe mke wako umemkuta bikira? Au dada zako wameolewa mabikira? Bikira mnazitoa nyie hlf unataka uoe mwanamke bikira? what goes around comes around. Hutapata mwanamke bikira kamwe! Miaka 200
Duuuh miaka 200...!!
unatukatisha tamaa huku tunaotaka hao mabikra...
 
Ama kweli hawa wanawake wana kazi kweli kweli...kila siku wao,

Jana waliitwa desperate women wakashauriwa kisa umri umeenda wasichague aina ya wanaume wa kuwa nao hasa ma HB

Leo wasijishebedue hata kuhitaji kuolewa kwa harusi,kisa hawana bikira.

Daaah!!!
 
Duuuh miaka 200...!!
unatukatisha tamaa huku tunaotaka hao mabikra...
Wapo wachache...unaweza ukabahatisha. wale wanaoponda wanawake wasio mabikira wahakikishe dudu zao ni bikira pia.
Utakuta mtu amekazana kutaka kuoa mwanamke bikira wakati yeye mwenyewe chovya chovya tu
 
Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
Nimezielewa lips zako kuliko!
 
Ama kweli hawa wanawake wana kazi kweli kweli...kila siku wao,

Jana waliitwa desperate women wakashauriwa kisa umri umeenda wasichague aina ya wanaume wa kuwa nao hasa ma HB

Leo wasijishebedue hata kuhitaji kuolewa kwa harusi,kisa hawana bikira.

Daaah!!!
After all mwanamke bikra ni sawa na chakula kibichi au tunda ambalo halijakomaa na ndio maana huwa wasumbufu sana day one
 
Wapo wachache...unaweza ukabahatisha. wale wanaoponda wanawake wasio mabikira wahakikishe dudu zao ni bikira pia.
Utakuta mtu amekazana kutaka kuoa mwanamke bikira wakati yeye mwenyewe chovya chovya tu
tatty mbona umekuwa mkali hivyoo?
 
Back
Top Bottom