Hebu tusaidiane kidogo: Ungekuwa wewe ungechagua ipi hapa? Na kwanini?

Tetramelyz

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
4,364
12,456
Bachelor of Science in;

01.Environmental Engineering
02.Municipal and Industrial Services Engineering
3.Civil Engineering
04.Software Engineering
05.Computer Engineering
06.Telecommunications Engineering
07.Mining Engineering
08.Metallurgy and Mineral Processing Engineering
09.Petroleum Engineering
10.Renewable Energy Engineering
11.Marine engineering technology
12.Electrical Engineering.
13.Electronics & Telecommunication Engineering.
14.Mechanical Engineering.
15.Automobile Engineering
16.Agricultural Engineering
17.Irrigation & Water Resource Engineering
18.Engineering Geology
19.Metallurgy and Mineral Processing Engineering
20.Industrial Engineering
21.Agricultural Engineering and Mechanization

Usiache kushare experience yako tafadhali. Ili iwe msaada kwa yeyote atakayesoma.

Karibuni na ahsateni.
 
Bachelor of Science in;

01.Environmental Engineering
02.Municipal and Industrial Services Engineering
3.Civil Engineering
04.Software Engineering
05.Computer Engineering
06.Telecommunications Engineering
07.Mining Engineering
08.Metallurgy and Mineral Processing Engineering
09.Petroleum Engineering
10.Renewable Energy Engineering
11.Marine engineering technology
12.Electrical Engineering.
13.Electronics & Telecommunication Engineering.
14.Mechanical Engineering.
15.Automobile Engineering
16.Agricultural Engineering
17.Irrigation & Water Resource Engineering
18.Engineering Geology
19.Metallurgy and Mineral Processing Engineering
20.Industrial Engineering
21.Agricultural Engineering and Mechanization

Usiache tafadhari kushare experience yako. Ili iwe msaada kwa yeyote atakaye soma.
Karibuni na ahsateni.
04.Software Engineering
05.Computer Engineering
06.Telecommunications Engineering
12.Electrical Engineering.
 
1,9,10,11 na 19
Kwa sababu either kuna uwezekano wa kujiajiri ( kama sio kufanya kazi zako mwenyewe basi kuwa consultant), or ni field mpya ambazo bado zinahitaji watu.

Environmental engineering ni kozi ambayo bado watu watahitajika sana kwa sababu sasa hivi sheria za mazingira zinalazimisha kila ofisi kuwa na mtaalamu (ina maanisha ajira) na watoa mikopo wote wanataka study za mazingira kabla ya kutoa pesa (consultancy opportunities)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom