Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Wanajamii forums, heshima kwenu.

Nimepata safari ya kikazi kwenda wilaya ya Kondoa (Kondoa mjini) na nitakuwa huko kwa muda wa kama mwezi hivi.

Huwa napasikia tu. Vipi maisha ya Kondoa? Vipi na wenyeji wa Kondoa (nini wanapenda na nini hawapendi?)

Kwa wanaoijua vema Kondoa, msaada wenu wa mawazo ni bora muhimu sana
 
Kuwa makini ukimaliza shughuli zako zilizokupeleka rudi hotelini pumzika mapema, usifanye matembezi ya usiku ni hatari sababu maeneo mengi ni Giza, tatizo la umeme kama kawaida na uwe makini na maji ya kunywa nakushauri tumia ya chupa,maji pia ni tatizo.
 
Kondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.

Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA

Mambo mengine utajifunzia huko.

Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.

Zaid ni maji Mara moja
 
Last edited:

Mkuu umenikumbusha mbali huko kote nimekaa kuanzia makutupora, chenene hadi aneti.
 
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
 
Kondoa Tamu bana. Unaanza na Chandama . hapa kuna watoto Wa kirangi wazuri. Lkn watoto wa Chandama ni Wa rangi weusi hawa ni wale wanaoitwa Wa Rangi Wa Chemba.

Sifa za wanawake weusi Wa ki rangi ni wapole sana lkn ukiwauzi wanaweza kukuua.

Kuanzia "Aneti " mpk kondoa mjini hapo jiandae Kula Vindege. Wa rangi ni maaruf kwa kuwinda ndege Wa polini na kuwa kaanga vizuri kabisa kisha wanauzia abiria wanaotoka na kuingia Kondoa. Vituo vingi utakavyopita utakuta nyama nyingi za ndege kiliko ng'ombe na mbuzi.

Ukifika Kondoa mjini sasa . Mavazi rasmi ya kina mama ni Ma dera na starah yaani wanapiga shungi.

Na Kila Ijumaa ndio sikukuu kwa wakazi Wa Kondoa. Mji mzima unafurika Watu kutoka vijiji vyote vya kondoa wanakutana Katikati ya mji kwa kipika mbali mbali. So km utakua unataka Wanawake Wa kujiburudishia basi siku iyo ni wengi mnooo .

Sifa ya Mji Wa Kondoa ni mji ulio kimya sana , hakuna sehem za starehe kwa kuwa nature ya wakazi Wa pale wengi ni watu Wa kufanya ibada. Kuna miskiti kila mtaa lkn pia kila mkazi Wa kondoa ni mfanya biashara.

Tarajia kuona daraja la kamba la mjerumani karibu kabisa na gereza la kondoa , lakini pia Tarajia kuona m buyu wa kihistoria ulio katikati ya mji ambao Tan roads walishindwa kuukata ili wapitishe barabara kutokana na Maajabu yake.

Mbuyu huo huo ndio ulipelekea kuhamishwa kwa stendi kuu ya mabasi kondoa kuwekwa eneo jingine.

Tarajia kupendwa na Mwanamke Wa kirangi kirahis sana km utamnunulia kiatu kizuri , dera au cheni.

Tarajia ku logwa ukila mke wa mtu kondoa.

Lkn pia Tarajia upinzani wa hali ya juu ktk siasa kwa kuwa wakazi wengi Wa kondoa ni wafuasi wa chama cha CUF.

Km hujaoa ni rahis kupata mke bora kondoa ila ukikosea kuchagua utaopoa mwanamke ambae atakufanya uwachukie wanawake wote duniani.

Ni wazuri sana km Wa mbulu , wasomali ,wanyaturu au Wa habesh Wa Ethiopia.

Nenda salama Kondoa.
 
M
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
Mkuu kwani ww sio mrangi?
 
kondoa bhana kunae mambo meng tu nadhan weng mmeangazia zaid kwa wanawake lakn kondoa pia kuna vivutio kama michoro ile ya mapangon pia utakutana ugal huko upo kama cement rang yake wa mtama huo halaf pia hali ya hewa upepo flan hv 2livu c kama dar joto had nyuz32
 
Michoro ya Mapango haipo Kondoa Mjini. Ipo mbali sana sehem moja inaitwa PAHI .
 
Wanajamii forums, heshima kwenu.

Nimepata safari ya kikazi kwenda wilaya ya Kondoa (Kondoa mjini) na nitakuwa huko kwa muda wa kama mwezi hivi.

Huwa napasikia tu. Vipi maisha ya Kondoa? Vipi na wenyeji wa Kondoa (nini wanapenda na nini hawapendi?)

Kwa wanaoijua vema Kondoa, msaada wenu wa mawazo ni bora muhimu sana
Usiguse demu hapo, utasahau kurudi kwenu!

Sayansi ya jadi imejikita hapo!
 
Kondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.

Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA

Mambo mengine utajifunzia huko.

Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.

Zaid ni maji Mara moja
Mkuu hapo kwenye maji Mara moja umemaanisha nini?
 
Hilo pori linaitwa mtungutu au j
Kondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.

Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA

Mambo mengine utajifunzia huko.

Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.

Zaid ni maji Mara moja
Hilo pori linaitwa mtungutu au aka msitu mtu kutu
Pori hilo warangi washaporwa sana wakati wanatoka kuuza ufuta.
Ukifika izava kwenda kulia unapita vijijini kama it itiso hadi segala bomba ni huku kote ni gogo land,Ukiwa segala pale kuna njia unapasua kati kwenda kijiji kinaitwa mwakisabe(kondoa) unaweza kwenda mpaka kimji cha soya (kondoa)
 
Back
Top Bottom