Recent content by O Sa Ma

  1. O Sa Ma

    Kwanini Mungu yupo?

    Kwasababu yupo. Alikuwako yupo na ataendelea kuwako. Hana mwanzo wala mwisho. Ndio sababu mungu yupo
  2. O Sa Ma

    Siasa za Kamanda Muroto na Kifo cha Sheikh Rashid Bura

    Unahoji!?,unatuhumu!?, Au hoja yako Nini na Zaid swali kwako wewe ndie ulie funga mlango!? Umejuaje Kama mlango ulifungwa kwa nje!? Maswali Zaid kwako.unawezaje kujua kuwa she narehemu huwa anapokea simu akiwa dar!? Je ulimpigia na hakupokea simu!? VIP mlipanga Safari moja na narehemu...
  3. O Sa Ma

    Riwaya: Mkono Wa Chuma

    Pamoja mkuu Tunasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
  4. O Sa Ma

    Mafundi bora was Ujenzi wa nyumba Dodoma

    OK tumewapata
  5. O Sa Ma

    Hivi siku hizi PCCB wana mamlaka ya kushtaki?

    Inategemea DPP anaweza kufanya kazi na takukuru,polisi, au mamlaka yeyote kama wana wanasheria
  6. O Sa Ma

    Mahakama ya mwanzo mjini Morogoro imulikwe

    Ukiona mahakama ya mwanzo hutendewi haki nenda mahakama ya juu na uwaambie hawataki kikupa nakala yahukumu
  7. O Sa Ma

    Wahusika ondoeni huu ukiritimba wa mishahara kwenye majeshi yetu.

    Kama ni kweli selikari iwaonee huruma hawa watu mishahara ibadilike kama kada zingine
  8. O Sa Ma

    Mie mgeni sijui ratiba za humu wa kuu

    Ratiba za nini?
  9. O Sa Ma

    Yaliyojiri Mdahalo Kuhusu Matumizi ya BVR Tanzania, Serena Hotel, ulirushwa live na TBC

    Nakereka sana Na huku kuwa bias IPO cku ntafurahi naamini bado tu wachanga kisiasa.tunakwend Na hofu
  10. O Sa Ma

    Yaliyojiri Mdahalo Kuhusu Matumizi ya BVR Tanzania, Serena Hotel, ulirushwa live na TBC

    Nashauri TBC kutokuwa bias kwa taarifa zao.tuwape nafasi wapinzani.kwa nchii hii wapinzani no slaa Na mbowe au tundulisu.hawaangushi selikali isipokuwa tutawajua vizur Na MAWAZO yao.naomba TBC ibadilike
Back
Top Bottom