agness s obedi
Member
- Nov 5, 2016
- 71
- 59
Jamani Mie mgeni humu
Ratiba za huku ni kwamba unapojiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa uweke picha yako hapa mkuu!......please weka picha yako hapa!
Binti taratibu mama vichwa vya huku ni tofauti na vichwa vya Fb na whtup groups..
Mhhhh!!.....you look so cute and sexy,uko beutiful sana!
Dada kazi unayo sio kidogo utakuja kunielewa baadae
Nakushauri ufunge private msg zisiingie