Recent content by nzala

  1. N

    Wajue The Top Five Most Prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba!.

    Sie member wa JF ndo tutaamua kama ni taarifa au inabidi ijadiliwe.
  2. N

    Wana Kalenga: Mgimwa kasahau matatizo yetu

    Mbona wakati anahitimisha maliza vizuri. Kwa ujumla speach yake ni nzuri. Kama rais atafanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri aweza kuwa waziri.
  3. N

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    kimbisa, makongoro, Bhanji, Taslima, ..............
  4. N

    Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

    Ni katika kujaribu kuhalisha ununuzi wa mitambo. Kwani mie sioni umuhimu wa Mama Clinton kutembelea mitambo hiyo
  5. N

    Shibuda aachiwa na Polisi na kusema "CCM wamenipa Umaarufu"

    Hiyo, basi ni habari njema. Mzee Shibuda kaza kamba
  6. N

    Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

    Ahsante kwa taarifa, nawatakia maboresho mema! tupo pamoja
  7. N

    Angalia unafiki wa Kabururu na Mrema Mlimani TV

    tupe clip, ya hayo mazungumzo
  8. N

    Chadema yaunguruma Dodoma; Operesheni Sangara yapaa!

    Kwani hiyo Oaresheni Sangara, ikitoka Dodoma inaelekea wapi?
  9. N

    Siku Moja bila Mzee Kawawa

    ilibidi ahutubie taifa, na kueleza mipango yake kwa mwaka huu wa 2010. rais wetu hii is serious at.
  10. N

    Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    ahaa nimeipenda sana topic hii.kweli huko ni kama jela. mfano kila siku kuamka saa 9 za usiku kwenda kusambaza magezeti. nikimaliza shule nitarudi.
  11. N

    Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

    je, baada ya kurudi jukwaani, amemaliza salama kuhutubia wakazi wa mwanza?
  12. N

    Gari la wagonjwa latumika kubeba wasimamizi wa mitihani Njombe

    hiyo balaa linafika mpaka lupila kwetu,na lile la kituo cha afya lupila nasikia huwa linakaa kule halmashauri makete hatafu wagonjwa wasota pale kituo cha afya lupila bila gari.
  13. N

    Kitendawili: 12 Julai, 1998 kulitokea nini?

    Tume ya Jaji Warioba kuhusu rushwa ,iliwakisha ripoti yake kwa mheshimiwa Raisha
  14. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hongereni CHADEMA kwa ushindi.Kazeni buti, mwendo mdundo mpaka 2010.
Back
Top Bottom