Angalia unafiki wa Kabururu na Mrema Mlimani TV

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Wana JF angalieni Mlimani TV muone na kusikia njaa zinavyosumbua wanasiasa wetu. Heko kwa Rioba jinsi anavyowabana mbavu
 
Weka habari mkuu, mlimani TV haipatikani dunia nzima! achilia mbali Tanzania nzima!
 
kwann wanaenda kwenye tv inayoonekana kijiji kimoja tuuuuu...........achana nao hawana ishu hao
 
Omutwale nakuunga mkono NJAA MABYA nilishasema na nitaendelea kusema, Esau aliuza haki yake ya uzaliwa wa kwanza kwa ajili ya njaa. Mungu atupe nguvu kushinda majaribu. Mrema anatetea presidency wapi na wapi alivyokua anamponda Mzee Mwinyi na Mkapa hakuwa anahatarisha ofisi zao?Mrema njaa itakuua SHAME on YOU na VUNJO hutaaibishwa saaaaaana tu.
 
Mimi nashangaa kwanini wameenda kwenye Tv ya kujifunzia, pia inarusha matangazo yake yanayo ishia Kijitonyama tu hata Mabibo hostel hawayapati, ina maana kuwa nao pia wanajifunza siasa. Ama kweli tumbo linasababisha mtu aseme hata mambo ambayo hayapo akilini mwake. Kigoma watu hao wanawajua vema unanafiki wao.
 
Tumewazoea bwana maana hawa jamaa wana njaa sana ya kisiasa na tena mimi napenda wote wale wanafiki warudi huko na tubaki na watu makini
 
Mimi nashangaa kwanini wameenda kwenye Tv ya kujifunzia, pia inarusha matangazo yake yanayo ishia Kijitonyama tu hata Mabibo hostel hawayapati, ina maana kuwa nao pia wanajifunza siasa. Ama kweli tumbo linasababisha mtu aseme hata mambo ambayo hayapo akilini mwake. Kigoma watu hao wanawajua vema unanafiki wao.

mi nakaa kimara na kila siku na enjoy hii tv, iweje wewe wa hapo mabibo usipate, acha hizo. sema ukweli bwana.
 
tupe clip, ya hayo mazungumzo
mrema wa TLP, SIYO MPENZANI WA KWELI , ila yupo kwasababu ya kutumiwa ilikuharibu kambi ya upinzani, na kaburu naye siyo mwanaharakati wa kweli ni mtu wa kutafuta fursa ya kujipatia kipata ndiyo maana hana msimamo wa kisiasa, ila kwasasa habari yao kwisha kabisa TANZANIA YA sasa bila mamluki inawezekana
 
Back
Top Bottom