tutamtupia kiatu kama Bush, we muache!
The ugly reality is that China hana historia ya colonization katika Africa, they are a friend we can trust, Wamarekani, waingereza, wafaransa na wenzao wa magharibi wana hila sana hao, bado wanatucolonize kisasa, kiuchumi kupitia world bank na IMF, siasa zao zinatudumaza, wanapanga sheria za uwekezaji wao wanatuma na wawekezaji wao waje kutukamua, tukigoma tunapelekwa ICC.
USA wana wivu, wakati China inaanza kujijenga walihaha sana kuuingiza ubepari huko China wakagoma, kukataa influence yao mbaya na kucontrol uchumi wao, pamoja na vikwazo walivyoiwekeaga leo imekuja juu na ndio kwanza haiexploint potential yake to the maxi, hii ni moja ya muendelezo wa kisiasa wa kampeni yao ya kulinda economic interest zao afrika, ukifuatiwa na hawa jamaa wao wa Peacecorps,wanaotujasusi.
Anazeeka vibaya huyo mama.
Heubu soma hapa ndio utajua nani Mkoloni....
The African 'Star Wars' - Opinion - Al Jazeera English
"We don't want to see a new colonialism in Africa" ...... look who is talking!