Wajue The Top Five Most Prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,

Wakati vikao rasmi vya Bunge Maalum la Katiba, vinatarajiwa kuanza rasmi siku ya Jumatatu, naombeni kuchukua fursa hii, kuwatajia majina ya the Top Five Most Prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba.
Hawa ni
  1. Mhe. Samweli John Sitta -M/Kiti
  2. Mhe. Samia Suluhu Hassan-M/M/Kiti
  3. Mhe. Pandu Ameir Kificho-M/Kiti wa Muda
  4. Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda-Waziri Mkuu wa JMT
  5. Mhe. Edward Ngoyai Lowassa -Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT

Prominence hii ni kwa mujibu wa mpangilio wa kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum, uliotangazwa na M/Kiti wa Bunge Maalum, Mhe Samweli Sitta kuwa zoezi litaanza kwa kuwatanguliza most prominent Members wa Bunge Maalum.

Lengo la kuwapatia majina haya ni kuwawezesha wana JF, sio just to be informed who are the Five Top Most prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba, but kuwafundisha watu kitu kinachoitwa trend reading, kusoma future trends, not just that!.

Kwa kuwasaidia members wasiojua prominence ni mashuhuri wasije wakachanganya na popularity, maarufu!.

Prominence hii inaweza kuja kuwa very useful 2015!.
Pasco

NB. Sio kila thread ni mjadala, threads nyingine ni just an info pack for you to be informed!.
Hakuna Maswali wala mjadala ni just facts!.
 
Wanabodi,

Wakati vikao rasmi vya Bunge Maalum la Katiba, vinatarajiwa kuanza rasmi siku ya Jumatatu, naombeni kuchukua fursa hii, kuwatajia majina ya the Top Five Most Prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba.
Hawa ni
  1. Mhe. Samweli John Sitta -M/Kiti
  2. Mhe. Samia Suluhu Hassan-M/M/Kiti
  3. Mhe. Pandu Ameir Kificho-M/Kiti wa Muda
  4. Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda-Waziri Mkuu wa JMT
  5. Mhe. Edward Ngoyai Lowassa -Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT

Prominence hii ni kwa mujibu wa mpangilio wa kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum, uliotangazwa na M/Kiti wa Bunge Maalum, Mhe Samweli Sitta kuwa zoezi litaanza kwa kuwatanguliza most prominent Members wa Bunge Maalum.

Lengo la kuwapatia majina haya ni kuwawezesha wana JF, just be informed who are the Five Top Most prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba!. Just that!.

Imetulia,nimeipenda,Sitta for PM 2015
 
Mashuhuri kwenye nini???!!!
Hii tabia tuiache sasa ya kutukuza tu watu,watukuzwe kwa matendo sio wadhifa!!!!!
Halafu ina faida gani kuweka classes hapo ndani???
 
Mbona hapo penye rangi nyekundu ni fact ya uongo ! Au hujui kwamba Lowasa si waziri mkuu mstaafu ?

Wanabodi,

Wakati vikao rasmi vya Bunge Maalum la Katiba, vinatarajiwa kuanza rasmi siku ya Jumatatu, naombeni kuchukua fursa hii, kuwatajia majina ya the Top Five Most Prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba.
Hawa ni
  1. Mhe. Samweli John Sitta -M/Kiti
  2. Mhe. Samia Suluhu Hassan-M/M/Kiti
  3. Mhe. Pandu Ameir Kificho-M/Kiti wa Muda
  4. Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda-Waziri Mkuu wa JMT
  5. Mhe. Edward Ngoyai Lowassa -Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT

Prominence hii ni kwa mujibu wa mpangilio wa kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum, uliotangazwa na M/Kiti wa Bunge Maalum, Mhe Samweli Sitta kuwa zoezi litaanza kwa kuwatanguliza most prominent Members wa Bunge Maalum.

Lengo la kuwapatia majina haya ni kuwawezesha wana JF, just be informed who are the Five Top Most prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba!. Just that!.

Kwa kuwasaidia members wasiojua prominence ni mashuhuri wasije wakachanganya na popularity, maarufu!.

Prominence hii inaweza kuja kuwa very useful 2015!.
Pasco

NB. Sio kila thread ni mjadala, threads nyingine ni just an info pack for you to be informed!.
Hakuna Maswali wala mjadala ni just facts!.
 
Kama ni taarifa au ni habari si jukumu lako ulioileta,ni letu kuamua.
Au hujui kuwa hata theories huwa falsified?
A scientific theory must be liable to falsification sembuse hii taarifa yako ambayo hatuna uhakika na ukweli wake!!
Au huu udictator ni kama wa waziri aliyejiuzulu wa kukurupuka ovyo?
 
Mkuu Pasco una mahaba ya dhati kwa Lowassa ... ngoja Rizmoko akustukie kama utaukwaa hata uenyekiti wa nyumba kumi....na Ahsante kwa Taarifa....it worth it
 
Lowassa ni "mstaafu" au "wa zamani"?
Mkuu Kiranga, Lugha yetu adhimu ya Kiswahili ina upungufu wa msamiati wa Mstaafu. Mstaafu ni mstaafu tuu, awe alistafu, alistaafishwa au alitimuliwa!. Kwa Kiingereza ni mstaafu mwenyewe ni "retired!", akipumzishwa ni "dropped", akitimuliwa ni "fired", be it alijiuzulu, alistaafishwa, au alitimuliwa, title yake ni Ex PM, regardless aliachia vipi madaraka,

Kwa Kiswahili Mtaafu maana yake aliwahi kuwa. Hata Aboud Jumbe ni Rais mstaafu wa Zanzibar na sio Rais mtimuliwa, rais mfukuzwa, au rais mchafuzi wa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar.

Kwa vile lugha yetu adhimu ya Kiswahili, ina upungufu wa misamiati, tunaweza kutohoa neno "Waziri Mkuu Mjiuzulu" kwa Lowassa na "Rais Mtimuliwa" kwa Aboud Jumbe, as long as bado hatuja tohoa, Edward Lowasa anaendelea kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT huku akienjoy mafao, haki na stahili zote za mawaziri wakuu wastaafu.
Pasco
 
Back
Top Bottom