Recent content by Nywilla

  1. Nywilla

    Bayern wana bahati sana Umtiti hakucheza

    Nashangaa sana Bayern inarudia kitendo kilekile cha kipigo kinachofanana kipindi cha kwanza vilevile cha pili .[emoji23] [emoji23] Chelsea wapewe tuzo ya heshima maana walijitahidi sana kupunguza magoli.
  2. Nywilla

    I can't live without you

    "Anahisi hana nguvu"?? Huyo atakuwa na changamoto ya upumuaji[emoji14] [emoji14] Cov... 19 .@ Kasie Matata.
  3. Nywilla

    Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

    Ok Molodo ilide! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  4. Nywilla

    Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

    Kasie pow miss u Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  5. Nywilla

    Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

    Kasie Matata upo?
  6. Nywilla

    Namna ya kuangalia kupatwa kwa jua kesho Jumapili asubuhi

    njiwaji, Kwa njia ya kutumia ndoo au beseni yenye maji je?
  7. Nywilla

    Naomba kujua tofauti ya kimajukumu kati ya TANROADS na TARURA

    TANROADS Majukumu yao ni usimamizi, ukarabati na ujenzi wa barabara za mijini . TARURA Majukumu yao ni usimamizi,ukarabati,na ujenzi wa barabara za vijijini. OVER
  8. Nywilla

    Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

    DOGO: "Mama!" MAMA: Mmh? DOGO: Nikuulize kitu? MAMA: Uliza. DOGO: Hivi mtoto huzaliwa kwa kupitia wapi? MAMA: Mhmh! Tumboni. Halafu maswali gani hayo mnafundishana mitaani maliza chai hiyo ukaoge haraka sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nywilla

    Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

    "Odinga" ni jina kwani aliyeandika ikitokea akasema si Raila bali ni Odinga mwingine tofauti na unayemsemea? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nywilla

    Jina kamili la msanii Akon

    Vp hayo mengine ni ya mizimu ya kwao? Maana majina mbona ni mengi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nywilla

    Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

    Mpaka nmepaliwa na ugali [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nywilla

    Msaada swali la hisabati

    Hiyo 1/4 alikula kibakiza na kiporo au? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nywilla

    Kifaa cha kuzuia vifaa vya smart electronics kuungua na umeme

    Mkuu bei yake vp Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Nywilla

    Comment za kuchekesha mitandaoni

    [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom