Kabibi ka watu kamerogwa..
Hivi wanaorogaga mpk vibibi wanawazaga Nini..😂
Aahahahahahaaaaaa hili bichwa la Kasie sijui likoje, yaani kwa kila jambo linalotukia najikuta tuu kuna wimbo unanijia kichwani...
Acha niimbe kwanza,...
''wiivuuu hanaaa ila roho inamuumaa eeehhh
Wivu hana ila roho inamuuma eeehhh
Munene na munenee eeh eeh eeh eeh
Mwembamba na mwembamba aah aah aah aah
Mufupi na mufupi iih iih iih iih
Mzee na mzee eeh eeh eeh eeh eeh..
Wivu hana, wivu hana ila roho ina muuma aahahahahaaaa''
Ila tuache utani, yaani kwa jinsi Dadii alivyonikoroga, kanibakishia blangata ya kwenda haja ndogo na kubwa tuu
Kanikoroga haswaaa hakuna mahali ameniacha
Nimehorojeka nyoronyoroo
Dadiii nakumbuka ule wimbo ulinitumiaga, acha niimbe tena...
''Nikiwa chizi ni weewee, aahh eehh we ndo sababu
Sitaki moyo wangu uchezewe aaahhhh eeeh ntapata tabuu
Nnachotaka kuzaa na weeweee, aaah eeehh pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na weeweee, aaahh eeeh bibi na babu...
....Moyo wangu mi nakupa baby, usasambue, usasambue..
Mi nakupa, usasambue, sasambue,
Fanya unavyotaka, usasambue, usasambue
Ubakishe mifupa, usasambue, usasambue
Uniburuze kama guta, usasambue usasambue
Usasambue, usasambue Dadii Dudukeee...''
Kwa Dadii Duduke, acha aniroge tuu.
Utamu napata mie.