Msaada swali la hisabati

Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.

Cc Mwifwa
1)Alikula 1/4 ya total

2)Akauza 1/3 ya kilichobaki(hii ni sawa na 1/4 ya total)

3)Kabakiwa na 60kg

4)Basi,

1/4+1/4=1/2
1/2 ndio kilichobaki
1/2=60kg

Hivyo total ni 120kg

Usipozingatia hiyo stage2 huta pata jibu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kWELI HESABU NI NGUMU, JIBU NI 144

AMEKULA 1/4 NA AMEUZA 1/3, JUMLA YA KUUZA NA KULA 7/12 ili upate kitu jumla ni 1, yaani 7/12+5/12=1(JUMLA) , baki ni 5/12 ya kitu chote, sasa sema 5/12=60, Je 1=?, cross multiplication, unapata 144
 
Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.

Jumla ya mchele no Akg
Amekula 1/4 ambao ni 1/4*Akg
Uliobaki baada ya kula ni Akg - 1/4*Akg
Trick ya swali hili: kg60 ilibaki baada ya kula 1/4 au baada ya kuuza 1/3?
Kama kg60 ndo ilibaki baada ya kula 1/4 then
Akg - 1/4*Akg = 60
A=80kg ndo uzito wa mchele alokua nao.
Kama kg60 ni mchele ulobaki baada ya kuuza 1/3 then kilichobaki ni 2/3
So kg60 = 2/3
Mchele uliobaki kabla ya kuuza ni 60*3/2 = 90kg lkn pia ndo mchele uliobaki baada ya kula
Kala 1/4 kwahiyo kilichobaki ni 3/4 ambayo ni kg90
Jumla ya mchele wote ni 90*4/3 = 120kg
 
kWELI HESABU NI NGUMU, JIBU NI 144

AMEKULA 1/4 NA AMEUZA 1/3, JUMLA YA KUUZA NA KULA 7/12 ili upate kitu jumla ni 1, yaani 7/12+5/12=1(JUMLA) , baki ni 5/12 ya kitu chote, sasa sema 5/12=60, Je 1=?, cross multiplication, unapata 144
Tena sio ngumu tu NI NGUMU SANA!!
 
Nilisafiiri 1/3 ya safari kwa miguu,kisha nikasafiri 3/4 kwa baiskeli.ikiwa zilibaki km 2.je safari ilikuwa ya umbali gani

Umbali wote ni kmB
Kwa miguu ni 1/3*Bkm
Umbali uliobaki ni B - 1/3*B
Kwa baiskeli ni 3/4(B-1/3*B)
Umbali uliobaki baada ya baiskeli ni 1/4km = km2
Kama 1/4 ni 2km basi 3/4 ni 6km
So 3/4(B-1/3*B) = 6
3B-B=24
B = 12km
 
Back
Top Bottom