Recent content by nyotanjema

  1. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Heko mradi wa SGR Serikali ijipange kuimarisha ulinzi wa miundombinu

    Hongera Watanzania na serikali kwa kutumia kodi na kuwezesha mradi kuanza kufanya kazi kwa kipande cha Dar-Moro, Dar-Dodoma safari iliyoanza leo. Napenda kuwashauri watanzania wenzangu huu mradi ni kwa kodi zetu tuwe na uchungu nao tusikubali kufumbia macho uhujumu wowote utakaopangwa maana...
  2. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Nawezaje pata mkopo kuanzia mln5 hadi 10 bila dhamana kwa kutegemea mshahara usio na permanent contract

    Habari zenu! Naombeni msaada wa namna ya kupata mkopo wa haraka sana wa kiasi cha mln 5 hadi 10 Mimi nafanya kazi katika mashirika binafsi kwa miaka 6 sasa. Na shirika hili tunapewa mikataba ya mwaka mmoja mmoja, hivyo nimejaribu kwenda kwenye taasisi mbalimbali za mikopo naambiwa nipeleke...
  3. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Uume kulala wakati wa tendo la ndoa nn sababu hasa

    msaada wakuu mimi hata hilo la pili linawahi sana nimejaribu kufuata baadhi ya maelekezo lakin naona namkera tu mwenzi wangu
  4. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania MENEJA WA MeTL IRINGA AKWAPUA MAMILIONI… Matunda ya kutokuwa na Uzalendo???

    Poa poa tuu wache wezi waibiane wao kwa wao . Waarabu wengi na wahndi wametoka kwa kupiga dili chafu. Hawezi kamatwa hiyo
  5. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Acha kumpoteza mwambie aachane nae huyo amashapata alichotaka basi . Cha msingi aache kupenda kwa kutumia moyo atumie akili kupenda . Bora kuvunja uchumba kuliko ndoa kujitambulisha kitu gani bwana
  6. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Acha kupenda kwa kutumia moyo utaumia mdogo wangu penda kwa kutumia akili . Huyo ameshakujua ameona huna faida kwake sasa anakutesa tuu pili naomba nikuulize umeshawahi kuumizwa mara ngapi au kuumiza mara ngapi?. Achana nae bora kuvunja uchumba kuliko ndoa .#Hutaki unaacha
  7. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    nimekubali mjomba duh haya ngoja nichanganye akili hapa, itanimulli.com = ................... duh
  8. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya polisi vikiiba westgate mall

    Hii hatari nadhani kenya inahitaj kujiweka sawa kiulinz wanashida . Ingekuwa polic sawa yani na jeshi tena
  9. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

    Sasa unashangaa hiyo elf 20 wakati last time nimetumia perfum inaitwa USHER ya USHER RAYMOND INAUZWA LAKI NA USHEE KWA MADAFU .HAPA BONGO NIMEITAFUTA POSTA CKUIPATA KIPIND FLAN. BUT HIYO NDO PERFUME BOMBA UNAKAA KWENYE KOCHI MWEZ MZIMA HARUF BADO IPO
  10. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Hii si ndio ajali iliyomuua anko wangu kapteni leguna dah he was too young to die
  11. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Wassira: Hatutawaita tena wapinzani Ikulu

    Mzee wa gombe
  12. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Madiwani masasi wamuondoa mwenyekiti wao

    Huyu jamaa hana akili mimi mwanaume na akili zangu niliweka picha ya mama yangu kwenye profile ya whatsapp akadhan ni mwanamke akaanza kunitongozha mpuuzi huyu na ulevi wa madaraka .nilimuonya nitamuharibia kama hanijui akaniomba radhi dadeki:thumbup:
  13. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli huyo ni Mnyarwanda kabisa anaeongoza vyuo vikuu Tanzania

    Kuwa mnyarwanda ndo nini na kuwa mtanzania ndo nini acheni upuuz fanyeni kazi .. great mind discuss ideas small mind discuss people. Shame to y'all
  14. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Hakuna kufanya kazi ya kanisa hapa eti upigwe tuu na wewe ukae kimya nasema hivi wakiwapiga na nyie wapigeni kwan si vipigio mnavyo??? Hapa walahi hakuna cha ukipigwa kulia geuza na kushoto
  15. nyotanjema

    JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

    Wazungu 0712.. ni kawaida mimi mdogo wangu aliachana na demu wake mzungu koz alikuwa anataka amle 0712.. dogo akasema siwezi kula hiyo kitu so kama upo tayar kwa hilo niambie nikutafutie mzungu
Back
Top Bottom