MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
Kwa style hii serikali ndio iliyofanya ugaidi ule, wale madogo ni amateurs kwenye ugaidi hata jinsi walivyoingia na ku-behave, kumbe waokoaji walikuwa wanaiba ma htc one, galaxy, iphone, hii aibu sana. serikali ilikaa na hao watoto wanne siku nne kumbe yenyewe ilikuwa inapora mali badala ya kuokoa maisha ya raia wake.