Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Kwani ikulu wanagawa pesa? Nin cha zaidi kipo uko adi jamaa atoe mkwara huo
Akina slaa na mbowe walishiba juice ya ikulu wakapata kiwewe sasa wanaitaka tena, hakuna kuonekana ikulu, wataishia hukohuko bilicanas
Mh. Waasira amesema hawatawaita tena wapinzani ikulu kutokana na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge katika mjadala wa katiba mpya.
Source gazeti MTANZANIA leo
ccm itakuwepo ikulu karne nyingi zijazo. Hatutaki watembea na sumu wala wamwagia watu tindikali wakanyage mahali patakatifu
unaongelea hao sasa ivi anakabinti kengine 21 years
Ikulu ni kwa Watawala. Ni udhaifu tu kuwaita Wapinzani IkuluMh. Waasira amesema hawatawaita tena wapinzani ikulu kutokana na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge katika mjadala wa katiba mpya.
Source gazeti MTANZANIA leo
weee bwana haya ndio unayajua leo? hao makanjanja hujiona wengi humu kumjibia Slaa kumbe wingi wao ni feki,ikitoka issue kali inayohusu chadema na viongozi wake kunakuwa na modi speshel wa kuchakachua maoni ambayo yako strong anayafuta na kubakiza yale cheap comments tu,ya makanjanja utakuta yanajaa pages na pages,naona kuna aina fulani ya posho wanapata,nimewahi kupata ban kwa kusema ukweli kuhusu aina ya mke wa Slaa ni mal.............,nikaambiwa ati nimemtukana kiongozi wa kijamii!!!
Kwani ikulu ni mbinguni,apeleke kuficha uso wake makumbusho..ikulu ya nchi hii yeye nani!
Wassira anawaumiza vichwa nyie mapimbi lakini ndiye kiboko yenu, na hilo kila mtu kwenye Chama chenu analijua na analitambua, Slaa akimsikia Wassira anajua lazima apigwe za uso.
Big up Wassira, ukiona Mishale mingi inaelekezwa kwako ujue wewe ni wa Muhimu sana na you have a unique status over them!
Heri kuwa masikini wa Mali kuliko kukosa AKILI, MAARIFA, HEKIMA na BUSARA. Wasira anadhani IKULU ni nyumbani kwake. Ikulu ni ya Watanzania wote, ndo maana hakuna Rais anaeteuliwa. Rais huchaguliwa na wananchi, kwa hiyo Rais huwakilisha wanachi, Rais huwateua wasaidizi wake ili wamasaidie kutekeleza majukumu yake. Kwa bahati mbaya wateuliwa hudhani ikulu ni yao na familia zao. Pole sana Wasira, Unawadhalilisha wazee wenzako. Wngine wakizeeka Busara huongezeka na hutegemewa kwa ushauri katika mambo muhimu ya kitaifa lakini wewe unazidi kudumaa kiakiri. Sina imani na wewe katika nafasi yako hapo ikulu. Fikiri kabla ya kusema, Fikiri kabla ya kutenda.
walewale...Wassira anawaumiza vichwa nyie mapimbi lakini ndiye kiboko yenu, na hilo kila mtu kwenye Chama chenu analijua na analitambua, Slaa akimsikia Wassira anajua lazima apigwe za uso.
Big up Wassira, ukiona Mishale mingi inaelekezwa kwako ujue wewe ni wa Muhimu sana na you have a unique status over them!