Recent content by Nyopa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watu wanaliofoji vyeti hivi Kwa nini huwa wanabahati hivi? Batsman nifoji na mimi

    Ukiambiwa uwataje una ushahidi au ndo unaongea tu pasipo kua na ushahidi hujui hilo ni kosa la jinai kishelia
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakenya wanapenda kujilinganisha na Tanzania?

    We ndio umenena ukweli sisi ndio tunajilinganisha na wao sio wao wanajilinganisha na sisi huo ni uongo ulio kubuhu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Umeiona hii ya kwenye Gazeti la Ijumaa?

    Ina maana mkuu hujui kugushi nyaraka za serikali ni kosa kikatiba.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    Tapper ni msanii yeyote anae rap na kurap unaweza rap katika mdundo wowote na pasipo kufuata misingi ya Hip hop. ...ila Hip hop ina nguzo ambazo husimamiwa na ndio humuongoza msanii wa Hip hop mfano tumuchukulie huyo Darasa fuatilia ngoma zake za nyuma kama sikati tamaa alomshirikisha Ben Paul...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    Tofautisha kati ya rap na Hip-Hop Darasa ni rapper hafanyi hiphop saizi japo anajivisha hicho kivuli cha hip hop kama alivyo kua akifanya kipindi cha nyuma
  6. N

    JamiiForums Tanzania Enzi zake Daudi Bashite akiwa msanii wa Hiphop

    Enzi hizo alikua anajiita bigg popu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye principle mbili katika vyeti viwili tofauti anaweza kwenda chuo?

    Vyeti viwili tofauti vp fafanua ali rudia kufanya mtihani yaan (reseters) au vyeti viwili vipi???
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye diploma na GPA 3.4 ataenda degree mwaka huu ?

    Kwa hiyo chini ya GPA ya 3.5 ni vilaza mkuu? ???
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Telecommunication engineering Abroad

    Najamaa yangu alipata ya Russia anasoma Actect na alitokea DIT Computer Engineering Diploma............We unanithibitishua vipi kua wanachukua form six pekee
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Telecommunication engineering Abroad

    Tangu lini wameanza kuchukua form six pekee
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanafunzi 4 wa Chuo Kikuu cha Kampala kortini kwa kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    Huu mzimu umeibukia wapi huu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia salary slip zangu, kweli Kikwete alikuwa Rais bora

    Mimi kwa upande wangu naona anafurahia namba pasipo kujua hesabu huyu jamaa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

    Magufuli ana busara na hekma mkuu???
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msomi ni nani

    Una maana gani mkuu hapo nifafanulie kama sijakuelewa vizuri hivi? ??
  15. N

    JamiiForums Tanzania CCM kutowalipa wasanii wasio na ushahidi wa madai yao

    Walipwe nini sa wakati makada walikua wanakisaidia kampeni chama Chao. ...
Back
Top Bottom