Natamani kusoma Telecommunication engineering Abroad

Daniel Schoter

Senior Member
Jan 12, 2017
114
64
Wakuu nauliza uwezekano wa Kusoma Telecommunication engineering Abroad Nina Ordinary Diploma ya Electrical and electronics engineering i wish to take my Bachelor Abroad je ninaweza kupata scholarship ambayo ni Full na nitimize ndoto zangu za kusoma nje ya nchi? Kwa africa i prefer south Africa out of Africa popote tu wakuu
 
Ili upate scholarship ni either upo very competent kwenye academics (I mean really competent yaani straight A student), au upo kwenye special groups, hapa naongelea disabled people, orphans e.t.c. Nje ya hapo labda scholarship na kampuni ambayo umefanyapo kazi na ukaonyesha very high competency, hizi ni chache sana though.

Kama una sifa yoyote kati ya hizo then tafuta scholarship unaweza bahatisha, kama upo nje ya hizo then sahau kwa bachelor degree, huwezi chomoka. Kaa hakikisha unapiga BSc first class hapo hapo Tanzania, ukimaliza tafuta scholarship Masters nenda piga nje.

Kaza buti nje panafikika, mwanzo mgumu sana ila ukibahatisha sehemu moja tu ukajituma kwa bidii utachomoka, the world is a very beautiful place, komaa uzunguke uone dunia.
 
za russia zimetoka juzi kati tu deadline ya application ilikuwa tar 20 Feb
 
Back
Top Bottom