Mwenye principle mbili katika vyeti viwili tofauti anaweza kwenda chuo?

joe 112

Member
Aug 20, 2016
40
29
Jamani naomba kuuliza mwanafunzi mwenye principal passes mbili kwenye vyeti viwil tofauti anaweza kwenda chuo , I mean ana D mbili vyeti viwili tofauti means cheti kimoja ana D moja na kingine D moja?
 
Ninachomaanisha ni kwamba ana principal passes 2 lkn vyeti viwili tofauti ana language B na Kiswahili ana D lkn ni vyeti viwili tofauti
 
Ninachomaanisha ni kwamba ana principal passes 2 lkn vyeti viwili tofauti ana language B na Kiswahili ana D lkn ni vyeti viwili tofauti
Vyeti viwili tofauti vp fafanua ali rudia kufanya mtihani yaan (reseters) au vyeti viwili vipi???
 
Back
Top Bottom