Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Hana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
Kumbe na wewe wakati mwingine hufikiri kwa kutumia kinyume na maumbile!!
 
The problem is to you who dont know the queen's language, I do advice people Like you to pass silently on English written coments
Hahahahhaha work on your grammar..... i mean what the hell is "you who don't know".....and to make matters worse ur correcting someone else concerning queen's language

Dah wabongo bhana :D :D:D:D:D
 
utawala wa nchi unahitaji busara na hekima kuna muda mh. Lissu anakosa vitu hivi kwa sababu ya hasira ni mpiganaji,mzalendo, namtetezi wa wanyonge, mlinda katiba, sawa lakini bado kuwa raisi wa JMT
Magufuli ana busara na hekma mkuu???
 
Mmh ndoto ya mchana kweupeeeee!! Kule upinzani hakuna msafi labda nije nigombee mimi, kama uchaguzi mdogo tu mmeporomoka kwa kasi sembuse 2020?
..ndoto za mchana kwa mama yako....si kila anaye comment humu ni mwanasiasa wa upinzani we chura...tumia akili badala ya makalio kufikiri...na soma content ya post...acha kufi.rika we...
 
..ndoto za mchana kwa mama yako....si kila anaye comment humu ni mwanasiasa wa upinzani we chura...tumia akili badala ya makalio kufikiri...na soma content ya post...acha kufi.rika we...
Kwani we ni nani sio kila wazo unalolifikiria wewe wote tunaliafiki huyo tundu lisu ni rais wa wazungusha mikono sio wa rais wa tz nyambafu
 
Kwani we ni nani sio kila wazo unalolifikiria wewe wote tunaliafiki huyo tundu lisu ni rais wa wazungusha mikono sio wa rais wa tz nyambafu
..alieyema LIssu rais wa Tz nani we ki.ma...hujitambui .....maana unajambishwa...ukiona nimeandika kamwe usi comment....mi nina allergy na watu aina yako....siwavumilii mnaotumia makalio kufikiri nyie...
 
utawala wa nchi unahitaji busara na hekima kuna muda mh. Lissu anakosa vitu hivi kwa sababu ya hasira ni mpiganaji,mzalendo, namtetezi wa wanyonge, mlinda katiba, sawa lakini bado kuwa raisi wa JMT

Kwani Bwana Yule ana hekima? Au unajifanya huoni?
 
..alieyema LIssu rais wa Tz nani we ki.ma...hujitambui .....maana unajambishwa...ukiona nimeandika kamwe usi comment....mi nina allergy na watu aina yako....siwavumilii mnaotumia makalio kufikiri nyie...
We unanijua mimi au una hamu ya kupumuliwa achana na mimi we nyumbu usijibu comment yangu
 
Kama watu wanatokwa mapovu sana kwa sababu anagombea urais wa TLS, sijui ingekua ni urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ingekuaje? Mh Tundu LISSU wewe ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri sana, sasa nyota yako umeshaiona ila nakushauri usiwe na na haraka wala papara na hilo! Nenda taratibu mwanaume urais JMT unakuhusu.Urais TLS wanakupinga kwa sababu za kisiasa tu hakuna lingine, hakika wewe ni tishio.

Tafadhalini CHADEMA mleeni vyema huyu,ni kiongozi ajaye wa taifa hili! Mleeni kama mboni ya hicho huyu atawapeleka kuchukua dola, wenye chuki nae hawataki kuamini ukweli huo lakini ndio ukweli wenyewe.
 
Namshahuri asigombee bcz ikifika 2025 ,mbowe ataenda ccm na kumchukua aliekatwa na kumfanya mgombea, na hapo ndipo atakuwa slaa wa pili.
 
Mwaka 2020 Chadema bila shaka yoyote watamsimamisha Tundu Lisu agombee nafasi ya Urais na kwa upande wa CCM wao watampitisha Kasimu majaliwa agombee badala ya JPM

Wasanii wengi watahama CCM na kujiunga na Chadema

Halima mdee yeye atahama chadema na kujiunga na CCM

Tundu lisu atashinda nafasi ya urais kwa 59%

Ombi:Mods huu uzi msiufute ikifika 2020 hata kama nitakuwa mavumbini basi muurudishe tena jukwaani ili muone nilichokinena ni kweli au porojo
 
Halima Mdee atahamia wapi vile?Hii ni porojo.
 
Utashangaa wanampa tena Lowassa kugombea. Wale jamaa kuna muda zinapanda ila muda mwingine wanavuruga kila kitu kabisa, usiwaamini sana.
 
Wewe ni Muongo na fisadi wa ndoto zako. Katika hiyo ndoto, ilikuonyesha kuwa Mimi ndiye mgombea wa CDM.

Na nilishinda kwa 69%. Pls translate the dream entrusted on you by my devilish supporters, in the actual manner it was planted in your mind, NA Halima mdee katika hiyo ndoto ilikuwa anaugua maradhi mapya yanayoitwa HIV of the throats and tounge (HIV T&T), NA haliyake ilikuwa dhaifu sana.
 
Back
Top Bottom