Umeiona hii ya kwenye Gazeti la Ijumaa?

Umeiona hii ya kwenye Gazeti la Ijumaa?

Vita ya dawa za kulevya ni ngumu sana. lazima anayeyapinga kwa nguvu akutane na upinzani mkubwa kama huu. kumbukeni kifo cha Amina Chifupa na wapambanaji wengine.
 
haya magazeti headline nakilichomo ndani nitafauti kabisa,utakuta story ambayo mwisho wasiku itakuchefua tu..!!

"utasikia mara mwandishi akiwa kolomije kakuta paulo wanamfahamu mara bashite alikuwa anakaa jirani walikuwa marafiki sana na paulo sasa kuna watu wakajua paulo ndio bashite yaani walipenda ikafika hatua wakawa mapacha sasa kuwatofautisha ikawa kazi kwa wasio wajua"...!!mara neno kutoka kwa raisi "ijumaa lilinyaka habari kutoka kwa ofisa mwandamizi wa serikali jina lake tunalihifadhi kuwa raisi ameapa kuwa hata kubali kijana wake kumtoa pale maana kafanya kazi kubwa sana ya kupambana na madawa ya kulevya"..!!!
 
TUNATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUCHAPA KAZI NA UJASIRI, SIO KIONGOZI MWENYE CHETI KIZURI SANA, LAKINI HANA UWEZO WALA UJASIRI!!!!! VITA HII YA MADAWA NI KUBWA SANA!! YATASEMWA MENGI!! MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE??? BAADA YA KUGONGWA KICHWANI NDIYO MMEIBUKA!!!!! HAPA KAZI TU!!!!
 
je kuwa na vyeti feki kwa makonda kunamuepusha vp wema, manji, na wengine kibao kutumia ngada?..acheni ku divert attention ya ngada kwenda kwenye vyeti
Sasa hivi kuna zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi WA umma?! Sasa Daudi ni nani mpaka asihakikiwe
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Kesi ya Bashite sio Kufeli....kesi inayojadili na raia ni kununua vyeti.
Hamna anaeizungumzia zero yake hapa. Tunazungumzia illegal move aliyoifanya ambayo penalty yake ni miaka saba akikutwa na hatia.
 
KAZA UZI MWANANGU!!!!!! HII VITA NI KUBWA SANA!!!!!!!
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Kwa hiyo unataka kusema Serikali ilikurupuka kuendesha zoezi la uhakiki WA vyeti kwa watumishi WA umma?! Au kwa sababu yamemkuta Bashite ndio unaona cheti sio muhimu
 
Hili gazeti tutalifungia, wahariri wawe makini, Rais hawekwi wekwi hovyo kwenye front page kwa namna ya kiudaku udaku namna hii
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Ina maana mkuu hujui kugushi nyaraka za serikali ni kosa kikatiba.
 
Back
Top Bottom