CCM kutowalipa wasanii wasio na ushahidi wa madai yao

lemutunguz

Member
Nov 15, 2016
51
51
Hvi hawa wanaposema hawalipi wasanii bila ushahidi wana maana ya ushahidi upi? Show walizopiga in recorded form au mikataba?
Screenshot_2017-01-29-17-39-35.png
 
kuna wengine walihama party zao kwenda chama tawala, kwa sababu kulikuwako na kampeni nyingi na promo na walichofanyiwa huko wajuta
 
Back
Top Bottom