Kutokea diploma 3.4 GPA, degree anaenda huyu mwaka huu?
Kwa hiyo chini ya GPA ya 3.5 ni vilaza mkuu? ???Chuo utapata kwani wanasiasa wamesharuhu vilaza kujiunga chuo kikuu. wanasiasa hao walisema aliyepata GPA chini ya 3.5 ni kilaza na hana sifa za kusoma chuo kikuu, na hao hao ndio wameamua kuruhusu vilaza wajiunge chuo kikuu baada ya vyuo kukosa wanafunzi hali iliyopelekea watu wenye akili timamu kuwakosoa hao wanasiasa kwa maamuzi yao ya hovyo.
pamoja na kua chuo utapata, ila sahau kuhusu kupata mkopo, kwani kwasasa pesa zote zinatumika ktk mchakato wa kuhamia Dodoma. wengi walinyimwa mikopo mwaka jana, vigezo vya kwenda chuo kikuu vilipandishwa ili kupunguza waomba mikopo, uasi wa kuwakata watumishi wa umma kinyuma na makubaliano ya kimakataba, n.k; yana lengo la kukusanya pesa na kuzibana ili zitumike ktk kuhamia Dodoma. pole kwa kukosa mkopo ktk 'time' za mapema
sijasema mimi, bali ni ndalichako. Ila kwasasa amebadili msimamo wake wa kutoruhusu vilaza kuingia vyuo vikuu, na akawaambia vilaza waanze kwenda vyuo vikuu.Kwa hiyo chini ya GPA ya 3.5 ni vilaza mkuu? ???