Recent content by nyanga kante

  1. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kondom hua zimepandikizwa magonjwa?

    Wapendwa habarini, naomba mnitoe ujinga juu ya hili. Kuna story niliiskia skia kwenye kijiwe kimoja nimeona niwaulize nanyi kama mnafaham. Nimeskia kua kuna kondom zimepandikizwa magonjwa kama HIV. Hili ni kweli wakuu?
  2. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani itatumika kumlinda Tundu Lissu asiuawe?

    Ni kumwambia afyate mdomo tu. Asiongee ujinga
  3. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kama ninayempenda hayupo tayari kuwa nami?

    Watalam wa mahusiano naombeni ushauri kwenye hili. Kuna msichana nampenda sana na natamani kua na mahusiano nae, lakini ye ni kama hataki uku anataka. Nimeshamweka wazi mda mrefu tu lakini hajakubali, zaidi ya mwaka sasa. Nikiamua kukaa mbali nae, anasema kanimiss na analalamika kua nimemkalia...
  4. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania MAHUSIANO YA MBALI

    Io haiingii akilini. Mapenzi ni kuonana, ukionana na mtu mkaongea kuusu penzi lenu, hayo ndo yanakua mapenzi, sio hivyo unavyosema. Hizo ni Drama
  5. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Kwanini vodacom wana bei sana kwenye vifurushi vyao?

    Kwa mnao faham naombeni mnisaidie kuusu hili. Kwanini vifurushi vya Vodacom vina bei sana tofauti na mitandao mingine kama Tigo, Airtel...... Ni kwamba vodacom wameridhika sana na wateja wengi walio nao au imekaaje hii. Watalam wa mambo nawaomba mnisaidie
  6. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kubadili mwaka wa kuzaliwa kwenye kitambulisho cha taifa?

    duh! sasa mbona inatishia amani
  7. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kubadili mwaka wa kuzaliwa kwenye kitambulisho cha taifa?

    Naomba wenye ufaham juu ya hili mnisaidie. Mimi nilikosea kuweka mwaka wa kuzaliwa kwenye fom yangu ya maombi ya kitambulisho cha taifa. Baada ya kitambulisho kutoka ndo nikaona kua nilikoseaga kuzaja fom. Sasa nataka kubadili mana sijihisi vizuri kutumia mwaka wa kuzaliwa ambao sio wangu. Je...
  8. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani

    Apo dollar ndo imepanda na siyo kwamba shilingi imeshuka Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Njia fupi, nyepesi na yenye tija ya kutongoza

    Njia rahisi ni kua na mtonyo tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Mke msomi mi naona mateso aisee, tena kama akipata na kaz ya maana utakua unapiga show mara moja kwa wiki Post sent using JamiiForums mobile app
  11. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya huyu mchumba

    Kama hamna hisia hata kidogo usiolewe nae uyo, mtasumbuana sana, mtaish kwa shida... #UtaishiaKujuta
  12. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Like
  13. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Nokia android smartphone ujio wake bado kizungumkuti

    Nokia wamechelewa sana kuingia kwenye android
  14. nyanga kante

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna dawa ya kuzuia upaa??

    Jamani naomba msaada kuhusu hili, kuna rafiki yangu ana miaka 17 tu ila tayari ameshaanza kupata dalili za upaa kitu ambacho kimekua kikimletea msongo wa mawazo. Naomba kujua kama upaa una tiba au ukikupata tu ndo milele, na kama una tiba ni ipi?
Back
Top Bottom