feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,774
Nyie ndugu kimawazo ila hamjuani tu,,,shida ni izi id fake

itakua kwakweliNyie ndugu kimawazo ila hamjuani tu,,,shida ni izi id fake

itakua kwakweliMaan mmeamua kubadili lugha tu,hongereni kwa jf kuwakutanishaitakua kwakweli
Maan mmeamua kubadili lugha tu,hongereni kwa jf kuwakutanisha
Duh eti ugunduzi teh teh teh,,,ata chizi kuna mda ana akilShukrani jf pamoja na wewe mgunduzi
Duh eti ugunduzi teh teh teh,,,ata chizi kuna mda ana akil
Mkuu amka kwenye huo usingizi wakoTena mwambie aamke asije akakojoa kitandan bure akaharibu godoro na atupe kazi vibarua uku kutengneza godoro lingine kwa mzembe mmoja
Itakuwa instaMimi hayo mapenzi siyawezi.
Unamsubiria muda wote huo mwisho wa siku kumbe ni mume wa mtu.
Hamjawahi kuonana kwani mlikutana wapi? Fesibuku?
Unakuja pata fahamu unagundua ulikuwa una date robot.

Anasubiri meli airport.
Yeye anasubiria mtu yuko nje huko!
Umekaa kama kaahabaWanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Kwani hakuwezi kuwa na mapenzi kwa watu ambao hawajawahi onana?? I mean they have been dating for the whole year or so
True brooYes it is possible but both participants need to be very disciplined, with technology it is so easy to communicate for so many hours during the day/week depending on their availability.
Mahusiano yawe ya mbali au ya nyumba moja kulala na kuamka pamoja kinachohitajika ni mawasiliano hai muda wote na uaminifu, hapo lazima mudumu maisha yenu yote.Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.