Recent content by Nyamuswa

  1. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal 'close to reaching verbal agreement' with in-demand Viktor Gyokeres Arsenal are reportedly close to sealing an agreement for in-demand Sporting Lisbon forward Viktor Gyokeres as they look to complete a double attacking summer swoop.
  2. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal get major Viktor Gyokeres transfer boost as Sporting 'find replacement' Sporting Lisbon are loathed to lose Viktor Gyokeres but they have identified a replacement striker, which could finally open the door for the Swede to join Arsenal Sporting Lisbon appear to be planning for life after...
  3. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Zubimendi lands in London ahead of £51m Arsenal move under Arteta Martin Zubimendi has reportedly touched down in London as he edges closer to sealing a summer switch to Arsenal. According to The Athletic, the Real Sociedad midfielder is on the verge of completing his move to the Emirates, with...
  4. N

    Mwalimu Nyerere alikuwa ana uwezo mdogo sana, ila jina limekuzwa na chawa wake

    Nyerere alikuwa mtu wa viwanda. Aliondoka Huku akiacha nchi ikiwa na viwanda karibu 400 1. Kiwanda Cha betri za magari YUASA 2. Kiwanda Cha betri za redio (National) 3. Kiwanda Cha Radio (National) 4. Kiwanda Cha majembe ya kukokotwa na ng'ombe 5. Kiwanda Cha zana za kilimo (UFI) 6. Kiwanda Cha...
  5. N

    Sishauri mtu kusoma PhD OUT

    Pole sana mdau! Machungu uliyo nayo NDIYO yaliyonipata! Mimi nilimaliza miaka mitano bila kufanya presentation ya proposal. Yaani unatuma proposal kwenye email jamaa hajibu chochote! Unapiga simu weee lakini wapi! Mwisho nikaamua kuapply chuo kingine, Ada niliyolipa pale kama M3.5 ikaenda bure...
  6. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa Sasa Kai ni Bora mara mia kulinganisha na Jesus! Huyu Jesus toka aje Arsenal hajawahi kuongoza Kwa ufungani wa mabao pale Arsenal hata akiwa fiti. Jamaa anacheza mpira wa kiafrika hasa, yaani hekaheka nyingi lakini end product zero!.. Ila Kai ni tofauti kabisa, Kwa mwendo anaoenda nao ni...
  7. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🧲Kai haitaji maelezo mengi kazi tunaiona uwanjani😂
  8. N

    Hivi kuna uwezekano wa kubebana kwa kufuatana Ndani ya Crown ?

    Kufanya mapenzi ndani ya gari tena Kwa kulazimishana! Inafikirisha sana!.....
  9. N

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Hakikisha gari halilali nje, namaanisha isilale sehemu ya wazi Ili kuepuka umande! Umande ndio chanzo Cha gari kuoza! Nunua car shed au weka hata kivuli Cha mabati.
  10. N

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Hakimisha gari halilali nje, namaanisha isilale sehemu ya wazi Ili kuepuka umande! Umande ndio chanzo Cha gari kuoza! Nunua car shed au weka hata kivuli Cha mabati.
  11. N

    Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Chukua hiyo namba Moja!..
  12. N

    Baba mweupe Mama mweupe watoto weusi kitaalamu inakaaje?

    Nimesoma hii mada nimegundua watanzania wengi huwa tunaenda Shule kupoteza muda tu na sio kuelewa! Kiukweli mtu yeyote aliyemaliza form four na akawa haelewi chochote kuhusu suala hili, huyo hakuelewa chochote huko ShuleniI labda kama alikumbia Masomo yo sayansi!.. Ukifika form four topic ya...
  13. N

    Probox au IST nivute ipi ?

    Chukua probox au Succeed!.. hizi ni gari Moja tu, zimefanana Kila kitu kasoro majina tu kama runx na allex!.. Ukitaka kuinunua uwe makini maana Kuna probox wagon au Succeed wagon na probox van au Succeed van. Hizi van siti yake ya katikati ni Kigoda na siti Haina viegemeo vya kichwa wakati Wagon...
Back
Top Bottom