Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hio form itakuja Matchday ya ngapi bosi au mpaka mbio za ubingwa zianze.
Tunataka matokeo sasa sio siku za mbeleni.
Karudi, ni mwendo wa benchi unadhani atajipata saa ngapi?
Pamoja na majeruhi ya jesus lakini arteta kaonesha kutokumuamini kama anavyomuamini kai.
 
Nyie mazwazwa, nawakumbusha tu kwamba mnawachezaji wa kawaida. Ila mnajiona mna weldi klasi.
Screenshot_20241010_235818_X.jpg


Screenshot_20241011_004644_X.jpg
 
Karudi, ni mwendo wa benchi unadhani atajipata saa ngapi?
Pamoja na majeruhi ya jesus lakini arteta kaonesha kutokumuamini kama anavyomuamini kai.
Alimuamin kai kipindi jesus pia ana majeruhi, ila kwa sasa kai kashajipata na anatupa aslimia 80 kwa kile tunachokiiitaji je ni muda pia wa kai akae benchi ili jesus apewe game 6 -8 ili ajipate na yeye??? Muda uo haupo kaka.
 
Namkubali Jesus, lakini kwa arteta inaonekana chaguo lake la kwanza ni kai, anampenda kai, kile kipindi kigumu alichokuwa anapitia kai, vile alikuwa anambeba na kumuonesha imani kubwa juu yake, hajawahi kuonesha hivyo kwa jesus baada ya majeruhi yale ya kombe
Kwa sasa Kai Ni mzuri kuliko huyo jesus wenu
 
Namkubali Jesus, lakini kwa arteta inaonekana chaguo lake la kwanza ni kai, anampenda kai, kile kipindi kigumu alichokuwa anapitia kai, vile alikuwa anambeba na kumuonesha imani kubwa juu yake, hajawahi kuonesha hivyo kwa jesus baada ya majeruhi yale ya kombe la dunia.
naanza kuamini nilichokihisi mwanzo, mkuu hauna mapenz kabisa na kai hata achezi vzuri vip bado utaangalia mapungufu yake
 
Alimuamin kai kipindi jesus pia ana majeruhi, ila kwa sasa kai kashajipata na anatupa aslimia 80 kwa kile tunachokiiitaji je ni muda pia wa kai akae benchi ili jesus apewe game 6 -8 ili ajipate na yeye??? Muda uo haupo kaka.
Itakuwa kama tunabishana, mie naamini macho na akili yangu, nawe amini hivyo.

Tuburudike na pira p diddy toka kwa arteta.
Imani aliyopewa kai ni kubwa mtu, jesus hajaaminiwa hivyo, morale, confidance lazima ishuke, kai kipindi anaharibu angesikiliza kelele za mashabiki huenda rekodi zingeonesha kai nae ni flop.
Jesus hajawahi kupewa imani walau nusu ya aliyopewa kai
 
Kwa Sasa Kai ni Bora mara mia kulinganisha na Jesus! Huyu Jesus toka aje Arsenal hajawahi kuongoza Kwa ufungani wa mabao pale Arsenal hata akiwa fiti. Jamaa anacheza mpira wa kiafrika hasa, yaani hekaheka nyingi lakini end product zero!.. Ila Kai ni tofauti kabisa, Kwa mwendo anaoenda nao ni ngumu kumuweka bench. Kai anaweza kuipatia Arsenal zaidi ya bao 20 mwisho wa msimu.
 
Mkuu mbona unatokwa mishipa ya shingo?

We amini hicho sikubishii, ni jicho lako na akili zako, naheshimu mawazo ya kila mmoja.

N.B kama mnamuona mzuri sana, mpelekeni kwa P. Diddy. 😂🤣
Kumbe unaongea ki hisia na ushabiki. Me nikajua unaongelea boli halisia ambalo kila mtu analiona. Kama Jesus shemeji yako. Unaanzaje kumkanyagia.
NB: sometimes Ongea boli weka ushabiki na hisia pembeni
 
Back
Top Bottom