Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji3166]Vile Masingeli anavyotamania kuchangia chochote humu, lakini kila akikumbuka msimu uliopita jinsi alivyokua analeta hamasa na kuwaaminisha watu kua Arsenyo ni dude moja kuuuubwa sana halafu mwisho wa msimu ikawa kama kawaida ya wasindikizaji wengine, halafu mbaya zaidi timu aliyokua anaisagia kunguni ndio ikabeba kombe anajikuta anaishiwa nguvu.aje hamis77 tumemiss
Masingeli njoo useme lolote humu misukule roho zao zitapoa, maana wanakusubiria kwa hamu kuliko hata wananchi wenye hasira kali wanavyomsubiria mwizi aliejificha kwenye karavati[emoji16][emoji16][emoji16]