Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arteta kamwambia tajiri mwembamba Stanley Kroenke kua wakifanikiwa kumsajili Madueke basi msimu ujao Epl ni mali yao.Endeleeni kujifariji.
Kipara anaanza kukaa sawa huko.
Hata tumsajili nani kama kocha atabaki Arteta basi ni sawa na kazi bure.
Kocha wa Psg Luis Enrique ukimpa Arsenal ya misimu hii mitatu iliyopita.Lazima akupe kombe hata moja la heshima.
Ila yule kazi bure hakuna kazi pale.
Tetea kamdanganya tajiri kua msimu huu walikua wanabeba ndoo ila majeruhi ya Saka ndio yamewakosesha kombe.
Hivyo Tetea anapigania dirisha hili la usajili apate back-up ya Saka, Tetea anadai kusajili striker sio kipaumbele kwao, maana Moringo na Kai wanaimudu vizuri hio nafasi.