min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,062
- 126,665
Kwa nini unasema ni watupu mkuu😁😁😁Hapo wengi wanaosoma ni wale waajiriwa wa Serikali wanaotafuta vyeti ili wapandishwe vyeo ila kichwani wanakuwa watupu
Kwa nini unasema ni watupu mkuu😁😁😁Hapo wengi wanaosoma ni wale waajiriwa wa Serikali wanaotafuta vyeti ili wapandishwe vyeo ila kichwani wanakuwa watupu
Hahahaa inawezekana ni mimi tu humu sina mchuchu kwa kweli😁😁😁😁Anaitwa N atajileta tu ajibu hoja!
Watetezi wa demokrasia wataruka na wewe hivi punde!
kuna wengine ni punda aisee,bila kiboko hawatimizi majukumu yaoWatetezi wa demokrasia wataruka na wewe hivi punde!
Mh. Mwendazake ndiyo yaliyomkuta.kuna wengine ni punda aisee,bila kiboko hawatimizi majukumu yao
watu wa aina hiyo wakibanwa kisawasawa lazima waite udikteta
OUT ni chuo cha Walimu na wafanyakaz wa Halmashaur hakina Weledi wowote...pale lbda kama unataka upoteze muda wako kasome paleKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Nilitaka nimshauri hivi hivi mkono mtupu haulambwi. Sikuhizi hadi kwenye misiba kuna rushwa. Mc anapewa rushwa ilimradi aseme natambua uwepo wa Adverse effect. Hasa hasa wanasiasa.Mkuu sijui unafeli wapi? Unasoma PhD na unalalamika upo serious kweli? Unafikiri supervisor wanakula email?
Tengeneza na weka mazingira supervisor wako akutambue na siku moja moja akupigie simu akijidai amekosea au anataka kukusalimia tu!
Yani kitendo tu chakuongea hivi unaonesha junsi ulivyo mjinga na kama umesoma hujaelimika, hiyo research ulifanya wapi yani school boys bna 😂Hapo wengi wanaosoma ni wale waajiriwa wa Serikali wanaotafuta vyeti ili wapandishwe vyeo ila kichwani wanakuwa watupu
Nimekutana nao kadhaaKwa nini unasema ni watupu mkuu😁😁😁
Ni ngumu kuelewa kama hujafanya kazi na graduate wa Open UnSijui unamaanisha nini hapa!
Kibobongo kama hauna dili ya kulipwa milioni 5 na kuendelea hakuna haja ya kusomea hayo madude.Nimekutana nao kadhaa
Sidhani kama ni sawa kujumuisha namna ile.Ni ngumu kuelewa kama huafanya kazi na graduate wa Open Un
Sorry kama nimekukwaza mkuuSidhani kama ni sawa kujumuisha namna ile.
Maana udhaifu wa mtu mmoja ama wawili haitoshi kuhitimisha namna ile.
Si mmoja wao!Sorry kama nimekukwaza mkuu
kwa usalama wa mwili na akili waachie ada ukaombe chuo kingine kamaKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Huyo sio mchuchu Wewe amka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaa inawezekana ni mimi tu humu sina mchuchu kwa kweli😁😁😁😁