Recent content by Nyambiza jr

  1. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia Wakenya na Waganda wanavyochambua Bajeti za Nchi zao ni wazi Kabisa Tanzania Hatuna Wasomi wa Uchumi na Sayansi ya Fedha!

    Mbona hatuoni maendeleo yao kutokana na huo utashi wao wa kuchambua Bajeti
  2. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Ricardo Momo ana kipindi kizuri sema mvivu sana. Mtangazaji mwingine akopi kazi zake

    Namkubali sana huyu mwamba
  3. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Mgonjwa hata ukimpa mavi na kumwambia hii ni dawa atakula ili apone, sasa wewe inabidi ufuate ushauri uliopewa ili matatizo yako yaishe
  4. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Mimba ni biashara kubwa mjini

    Duuh! Hii ni mpya kwangu
  5. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

    Mkubya akishika kijiti kilichoachwa wazi it will be a good combinenga ever ila si rahisi maana kanda ya ziwa hawatakiwi tena kuchukua chama
  6. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Sawa huamini kuhusu dini je unaamini uwepo wa Mungu?
  7. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Netanyau anatumia bunduki kumuua Mbu [emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Hamna taifa litaloweza kuing’oa Israel Mashariki ya Kati maana hapo ndipo nyumbani!

    Israel na Palestine ni watoto wa baba mmoja Ibrahim/Abraham so ni vita ya ndugu wawili wanaogombania rasilimali zilizokuwepo pale
  9. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Sasa ninunue tracks za mazoezi niwe naenda kazini kwa miguu nikifika naoga nabadilisha kupunguza nauli
  10. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa muathirika wa energy drink kwa muda, naombeni ushari tafadhali

    Unakunywa ngapi kwa siku mimi pia ni mraibu naweza piga hata 3 kwa siku ila ninachoshukuru siku nikisema nipumzike mwili unakubali na wala sihisi hayo uliyoyaorodhesha
  11. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani nzuri kwa sisi walalahoi?

    Habari wanaJf, nataka kufungua akaunti nilishawahi kuwa na akaunti Stanbic na NBC hizi zilikua ni kwa ajili ya kupokelea mishahara na niliachaga kutumia baada ya kuacha kazi. Sasa nataka kufungua akaunti Je, ni Benki gani ambayo ina vigezo km ifuatavyo [emoji818]Makato madogo, [emoji818]...
  12. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    11. Kassim Majaliwa natamani sana nchi irudi kwenye nidhamu ile ya Magufuli na huyu pekee ndio atakae weza
  13. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Ujasusi mkiwa faragha: Haji Manara yamemkuta

    Nchi imechafuka sana now a day
  14. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Imani Kajula, CEO wa Simba SC

    Ngoja kwanza Simba hawakuona haja ya kuwa na mtu ambaye ni mbobezi kwenye masuala ya mpira zaidi?
Back
Top Bottom