Ni benki gani nzuri kwa sisi walalahoi?

Nyambiza jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
1,030
1,825
Habari wanaJf, nataka kufungua akaunti nilishawahi kuwa na akaunti Stanbic na NBC hizi zilikua ni kwa ajili ya kupokelea mishahara na niliachaga kutumia baada ya kuacha kazi.

Sasa nataka kufungua akaunti Je, ni Benki gani ambayo ina vigezo km ifuatavyo

Makato madogo,
Upatikanaji wa ATM na zenye hela muda wote,
Huduma nzuri kwa wateja (customer care) nk
 
Kafungue equity bank utanikumbuka, Haina Makato ya mwezi, Makato ni pale unapotoa Hela, vinginevyo fedha yako inabaki kama ilivyo hata kama ni mwaka mzima.

Nina akaunti kwenye hiyo bank zaida ya miaka 3.
 
Uzi ufungwe
 
Kama Equity bank IPO karibu nawe fungua..thanks me later..hakuna makato hata tone pesa uliyoweka hata mwaka ukipita ukachungulia iko vile vile..makato ni unapotoa fedha TU ...kuna benki ni Mchwa baba lao CRDB yaani wanakata wale sijapata ona..
 
Kafungue equity bank utanikumbuka, Haina Makato ya mwezi, Makato ni pale unapotoa Hela, vinginevyo fedha yako inabaki kama ilivyo hata kama ni mwaka mzima.

Nina akaunti kwenye hiyo bank zaida ya miaka 3.
Unachosema ni kweli kabisa na kama akaunt yako ina tsh 10,000 unaweza kutoa kwa njia ya mobile au hata kununua vocha hadi kubaki 0 kwakuwa hakuna monthly charges
 
Back
Top Bottom