Recent content by Nyaganyi2014

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

    Ka picha hamna kusoma sijui jamani nisaidieniii!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Pole mama yetu pona haraka ufanye kazi zetu za kijamii ka ilivo ada!! Get well soon!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti waanika kilio cha ugumu wa maisha

    Siyo mbaya kama asilimia hizo kubwa yake ni kumi! Miaka miwili atakuwa na kubwa yake 10% sawa na mia kutoka 52%
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

    Trump shabiki wa simba tayari nyota isha ng'ara,hivo mwendo mdundo!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unajua dhana ya ndege ya Tanzania kunyunyiziwa maji ''Water Arch salute'' ilipowasili?

    Mi nilidhani ni tambiko ili tupate wateja wengi na tusifilisike tena.Huku kwetu magari mapya ya biashara huoshwa kwa madawa(mizizi).
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Ndo tarehe ya kupatwa kwa akili ndogo!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar, yawahoji kundi la Orijino Komedi, walazwa Kolokoloni

    Ni muda wa kujenga TAIFA LETU hoja dhaifu kaisimulie ndani ya ukoo wako! Nonse!!!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kama ni wewe ungefanya nini?

    Ngumi ya kichwa kwa mnyama den tyre inamuhusu!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Alikiba kuisimamisha dunia August 25

    Mmmmh! Bora isisimame coz tarehe hiyo ndo mdeni wangu kaahidi kuripa deni langu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

    Mnyika hama uje ACT, huko soon utapoteza dira yako.Chama kina laana ya dk.Slaa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hakika huyu mke wa jirani yangu ni mvumilivu sana

    Wivu wa kike huo!!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetoa pesa kwenye ATM haikutoka ila salio la awali limepungua

    Tatizo la mtandao.Pesa yako ipo kama ulivoiacha.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amnyooshea kidole Mwigulu Nchemba

    Upele umempata mkunaji!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Ndo sababu ya kukimbilia kene siasa kwenda kuongea vitu ambavyo havina uhalisia na zama za wanaowatawala sio?
Back
Top Bottom