Well said. ....Kwa Taifa la TANZANIA lilipo sasa hv ushabiki wa vyama si tija kwa nchi tena. Viongozi wa focus kwenye matatizo ya wananchi na waache ushabiki uchwara wa vyama.
Ushabiki wa vyama ndo unazidi kudidimiza Taifa la Tanzania. Watu hawaangalii tena ni hoja ipi yenye nguvu ikubalike kuivusha Tanzania kwenda mbele wamebakia kushabikia vyama tu.
Leo hii kiongozi wa CCM akitoa hoja yenye nguvu inayoweza kuvusha Tanzania kwenda mbele basi kwa kuwa kaitoa mtu wa CCM upinzani kwa nguvu zote watapinga. Leo kiongozi wa UPINZANI akitoa hoja yenye nguvu ya kuwezesha kuleta maendeleo kwa wananchi basi kwa kuwa imetolewa na UPINZANI viongozi wote wa CCM. wataipinga kwa nguvu zote kwa sababu tu imetolewa na UPINZANI.
Huu ni upofu wa akili, sijui wamelogwa🙁🙁. Sisi kama watanzania hatuhitaji kujua ni CCM au ni UKAWA wamefanya tunahitaji maendeleo kwa Watanzania. Ukisikiliza mijadala inayoendelea bungeni sometimes ungekuwa na uwezo unaweza chapa watu bakora.
Jamani tushikane kwa pamoja tuendeleze Taifa letu. Tuacheni ushabiki usio na maana wa kuleta siasa kwenye kazi. Taifa hili halitajengwa kwa migawanyiko ya kisiasa, tutapiga hatua na kusonga mbele tu kwa kushikana pamoja katika umoja wa kweli. Tukatae mabaya na yale mazuri ya kutuvusha mbele tuyashikilie kwa pamoja kama TAIFA tusonge mbele, tusibaguane kwa vyama, udini, ukanda au ukabila. Haya mambo yatalibomoa Taifa na hatutafika popote.
Chama changu ni UTANZANIA, kwa umoja tutafika.
AuTitle ya thread ingekuwa hivi:
Mwananchi yamsaidia Mnyika kukanusha tetesi za kuhama Chadema!!
Hata lowassa alijibu mwenyewe tena laivu ktk tv kuwa hatohama sisiemu!t
Ni bora Mhs Mnyika amejibu mwenyewe maana hawa Lumumba wasumbufu sana!!
t
Ni bora Mhs Mnyika amejibu mwenyewe maana hawa Lumumba wasumbufu sana!!
Naibu Katiba Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekanusha taarifa zinazodai kuwa anataka kuachana na chama hicho.
Mnyika amesema hayo jana alipopigiwa simu ili azungumzie taarifa hizo. Mbunge huyo wa Kibamba amesisitiza kwamba huo ni uzushi.
“Hakuna kitu kama hicho na wala sina mpango wa kuhama,” amesema.
Habari za kujiuzulu kwa Mnyika zilianza kusambaa katika vyombo vya habari kwa mara ya kwanza mwaka 2013 baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kufukuzwa uanachama.
Uvumi ulienea kwenye mitando kwamba amejivua nyadhifa zake zote na kwamba ameshakabidhi barua yake kwa katibu mkuu wakati huo, Dk Willibrod Slaa.
Chanzo:Mwananchi online
Nyie vijana wa lumumba hukumu yenu kutoka kwa mungu itakuwa kubwa sana,mnakaa na kumzushia mtu mambo ya ajabu?mtalaaniwa sana nyieKila jambo linaanza na tetesi
Naona mnamuogopa sana mnyikaHata Dr. Slaa alianza hivi hivi
Wewe hutumii akili hata kidogo unamwambia mleta uzi wakati yeye kakwambia hiyo habari imeandikwa ma gazeti?Weka hiyo clip ya Mnyika akikanusha tusikie ...
Kila cku wanaibuka wasemaji wa mnyika...
Pasipo Mnyika kukanusha yeye mwenyewe hadharani..hii kitu ishakuwa shida ha ha haSalary slip ndo mnyika?
Wana uhuru wao wa kuchagua,wacha kuwasemea unakuwa kama zuzu tu mitandaoni kwani wakihama wao ndio watakuwa wakwanza kuhama chama cha siasa?Hata Dr. Slaa na Prof. Lipumba hawakuhama vyama. Mnyika ni rafiki yangu. Ninachojua ni kwamba John Mnyika na Halima Mdee wanaenda ACT-Wazalendo ambapo anaenda kuwa GS. It's a matter of time.
Bali ccm ndio imeiokota hiyo dira siyo?dira ya kutuuzia sukari kilo moja sh 4000?dira ya kuyafanya mafuta ya taa kuwa ni almasi?dira ya kutuongezea kodi kwenye miamala ya fedha siyo?dira ya kununua vivuko vibovu kwa mabilioni siyo?Mnyika anaondoka
Na naunga mkono sababu CHADEMA imepoteza dira