rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Shujaa wa nini?Lema ni shujaa .
Shujaa wa nini?Lema ni shujaa .
Aibu gani hii kwa hiki pendwa duani na kuzimuJipya kwa sasa lipo ccm kushindwa kufanya mkutano wake mkuu kisa kumnyima magufuli uenyekiti
Na akili zake hizo kamwe haziwezi kufunguliwa kamweWewe endelea kudeki choo hapo lumumba upate pesa ya kujikimu huwezi kuona jipya wakati wewe akili zako zimefungiwa chooni
Na akili zake hizo kamwe haziwezi kufunguliwa kamweWewe endelea kudeki choo hapo lumumba upate pesa ya kujikimu huwezi kuona jipya wakati wewe akili zako zimefungiwa chooni
Tutamkumbuka sana gavana wetu fiulaniAibu gani hii kwa hiki pendwa duani na kuzimu
Kweli kabisaLema, a real definition of leadership
Mkuu hapo umeniacha aiseeeTutamkumbuka sana gavana wetu fiulani
Hata mim naliona hiloJPM kamtega mgombea mwenza hapo. Naliona lengo lake la kumrejesha Nchemba kwenye viti vya wote litatimia hivi punde. Na litaanzia kwa kuzuiwa kwa makusanyiko ya vyama vya siasa. Awe makini kwelikweli vinginevyo nafasi hiyo itamfuta kwenye medani za siasa.
Sasa hivi anaosha vyombo tu lumumbaUko nyuma ya mlango na sauti yako ya unyonge,
Ha ha kuna mdau mmoja kadokeza kuwa siku hizi anadeki vyoo pale LumumbaSasa hivi anaosha vyombo tu lumumba
Ni kweli mkuu maana akishapika chai kinacho baki ni kufanya usafiHa ha kuna mdau mmoja kadokeza kuwa siku hizi anadeki vyoo pale Lumumba