Kaka,rais wa gambia,alimpa talaka mke mkubwa sababu ya kutozaa,alimfanyia visa vingi kabla ya talaka,mwaka 1999 alimwoa Zeinab Suma Jammeh, kutoka morroco,ila kwa sasa anaishi marekani,kwa sababu wametengana,sababu rais wa gambia kuoa mke wa pili aitwaye Ms. Alima Sallah,mwenye umri wa miaka...