ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Wakati tukiwa bado tunashangaa watu kugeuza neti
za kujikinga na mbu kugeuzwa nyenzo za kuvulia samaki
kwa madai kuwa heri mtoto ang'atwe na mbu lakini
ashibe, huko kahama mkoani shinyanga kimezuka kituko kingine.
Kwamba wanawake wamebadili matumizi ya kondomu
za kike na kuwa bidhaa muhimu kwa ajili ya urembo.
Sina uhakika kama na wao wameamua kwamba heri
wapate ukimwi lakini wapendeze! Kisa chenywe ni
kwamba sasa wanawake wamekuwa wanakata zile 'rings' za
kondomu za kike na kuzivaa kama bangili.
Mambo ya urembo hayo!