Looking Good From Behind

sasa hapo sijajua connection ya hivyo na wewe kum pick...lol
unless labda u simple wake unakupa ishara ya kuwa easy na hivyo kumaliza kesi mapema lol
mkuu yaani siko huko kabisa, hujawahi ona mwanamke katumia laki 3-5 hajapendeza na mwingine katumia laki na nusu na kapendeza mno ?
 
8.jpg





da watoto wakali ile mbaya.
hivi ni kweli wanawaona vizuri hao wasini walio jukwaani au wanaumiza shingo zao.
au ndo kila mtu na kazi yake mjini hapa ili mradi mkono uwende kinyani.
 
hakuna jinsi itabidi tuzoee, na tukubali kuwa washindwe katika hii mfumo.
 
j2 ni siku ya Mungu,wengi wetu tuliamka tukiwaza tuyaonayo.Wengi wetu vijana wa leo,nyumba ya ibada imekuwa ni neno la kiyunani,la mwisho mzuri huanza na mwanzo mzuri.Tunayo nafasi,tubadilike,tubadilikeje,uajana ni mprvu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu,ujana mbichi ni wakati wa kuyaendelea mazuri na ujana mkomavu ni wakati wa matunda kuonekana na ifikapo utu uzimani,walio chini wanayachukua yaliyo mema toka kwetu na kuyafanya km mwongozo wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom