Mimi sio msichana but hiko kitu sikiafiki kama dada yangu..
Duniani hakuna usafiri wa luxury kama ndege but pamoja na luxury yote iliyopo humo mimba ikiwa kubwa tu almost 7 month hawakubali hata ulipe bei gani?...
Sembuse magari mara pancha, mara mmetekwa njiani, mara injini imebuma na bara bara zetu za tanzania zina mawimbi gari haituliii mbona utakoma..
Mimi mwenyewe mkata kiu mtoto wa kiswahili lakini unipeleke mpaka kanda ya ziwa kwa basi au gari sikubali kirahisi hadi kuwe na strong reasons.. Sembuse wewe mjamzito tena wa miezi kibao,,
Dada pumzika ujiandae kutuletea the most famous son in africa after george weah ( nakuombea aje wa kiume),, as niliona interview supersport her mother ali confirm wakati anatoka hospitali kiutani kama ame deliver the most famous son in africa na kweli mwanae akaja kuitingisha africa na dunia nzima... Japo mama alisema kwa kutania.. Sasa na wewe utamleta mwingine naomba usisafiri sister
jamaa wengine bwana wanatia aibu
badala ya kukaa na mkewe hadi ajifungue anangangania ukweni so what?.
Dada,usikubali,maisha yako na mtoto ni mhm sana,watu wengi sana wamekuzwakatika mazingira ya kutooneshwa upendo na kutojaliwa,sasa wanaona hiyo ndiyo njia ya maisha na imeshakuwa ni mazoea ndani yao,hawasikii kitu.Kataa,kmuna ajira yako,muite mtu wako au ndg yako aje akuhudumie,usikubali kitu km hicho,km mama mzazi wa mumeo yu hai,basi angekuja yeye kukuhudumia.Jisimamie,hakuna dhambi wala ubaya hapo!
Tatizo ninavyozidi kumwambia ndo naye anaweka msimamo he think sitaki kwenda kwao,
mimba za siku hizi zinazidisha miezi 9. hiyo yako kama ulivyosema bado sana. hamna risk wala nini. wewe nenda acha woga. hata gari ikipata pancha kwani wewe ndo utatengeneza? hujui hata wewe watakiwa kufanya mazoezi?. hamna noumer we mkubalie mmeo bana. mia
Habari Wana JF
Mimi Nina mimba ya Miezi 9 nimebakisha week mbili nijifungue ila mume wangu analazimishia niende nikajifungulie huko kwao kanda ya ziwa, I thought of flying ila flights haziruhusu mtu wa type yangu kupanda ndege,so anasema tutaenda na gari taratibu hadi tufike even if it take us 3 days, Hospital nimeambiwa nisisafiri coz niko karibia kujifungua,he doesnt want to understand he think I'm jus making it coz I'm a medical personel 2, Hataki hata twende kwa specialist wote,wala hajawahi kwenda na mimi clinic,its our first born ,
Nifanyeje?nisafiri tu. kuwaridhisha ila its risk...anataka tusafiri 20th my due date ni 28th
umeoa wewe? Una watoto? Hiyo research ya mimba kupitiliza iko wapi? Tuwe na huruma kwa dada zetu jamani hata kwa muda mfupi tu. Kubeba mimba tu ni ugonjwa tosha, bado akatekwe humo njiani na barabara zetu hizi loh! Aafu madaktari wapo dar nyie mnataka akazalie dispensary-? Nke wangu hata akiwa na kiburi vipi akiwa mjamzito ntamuheshimu aisee! Mungu bariki wamama wote katika kipindi cha uzazi..