Mimi naogopa kusema kuwa siasa maana yake ni kuropoka hata usichokuwa na uhakika. namsikitikia mheshimiwa Simbachawene, kweli wamemsingizia, ila najiuliz KAratu kuna umbali gani kiasi cha kumlazimu kulala Hotelini singida, hiyo hoteli aliyolala Mheshimiwa inaitwa Aqua, sababu za msingi za kulala...