kwamwewe
JF-Expert Member
- Jul 15, 2010
- 1,801
- 541
wake
nampenda mungu yesu..amewaanda watu wake wawe vichwa na wala sio miguu....kanisa halijui lielekee wapi?
wapi bwana yesu alisema mimi ni mungu , USIMPAKAZIE UUNGU BWANA YESU TAFADHALI
wake
nampenda mungu yesu..amewaanda watu wake wawe vichwa na wala sio miguu....kanisa halijui lielekee wapi?
Hivi ndugu waislam nani katulaani ? Yaani tuna acha kusimamia mambo ya maana tunataka shari.Sisi waislam Dunia nzima tumekuwa kituko .Tuna madai lukuki ambayo hata kwenye uislam kwenyewe hakuna .Hebu tuacheni ujinga ni muda sasa wa kuendelea .Wenzetu wakristo tunawapigia kelele wao wanafanya ya kuonekana .Siye madai ya kijinga na fitina .Hivi Uislam ni laana ?Kama ni laana basi mie najitoa kabisa maana ni aibu hii hata kuitwa muislam kwa ujinga huu .
Madrasa zenyewe ziko wapi watoto wanajifunzia kwenye tuvyumba tudogo kama choo!Shule na hospital zinahudumia wananchi wote bila kujali dini zao nyie endeleeni kujenga madrasa mtengemee serikali iwaunge mkono.
wanabodi wenzangu.
Kwanini serekali na makanisa yanapinga Kipengele cha dini ktk sensa ?
Hivi kweli linaweza likaigawa Taifa?
nasikia kila mwaka serekali inatoa fedha kwa ajili ya dini ya kikiristo kuendesha miradi yao kama Hospitali, shule na Hoduma za maji kwa ajili ya waumini wakiristo waliopo tz.
Mfano hai wa hili ni ule mkataba wa mwaka 1992 ujulikanao kama; Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).
Sisi tuliotia saini katika MKATABA HUU WA MARIDHIANO; ambao ni Makanisa chini ya Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) (ambao hapa watajulikana kama Makanisa) kwa upande mmoja na Serikali ya Muungano wa Tanzania (ambayo katika mkataba huu itajulikana kama Serikali) kwa ajili ya Serikali na Makanisa katika kuendeleza sekta ya huduma za jamii, kwa lengo la kupata fedha, kuratibu, kuwezesha, kuboresha, kupanua na kukarabati huduma hizi kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Tanzania.
Jee hii nayo sio ubaguzi na kuligawa taifa?Kweli kanisa litakubali kutumia pesa kwa ajili ya maendeleo ya waislam?
Endapo waislam watasema hii inatosha na inatosha na serekali istishe fedha za umma kugaiwa dini moja. jee amani itakuwepo?
Au umoja na mshikamano huwa kwa dini moja kumzidi dini nyegine kwa matumizi ya fedha za serekali yetu?
sasa kama serekali itoa pesa kwa ajili ya kanisa kwenye mashule yao. hizi peesa za bajeti ya Wizara ya Elimu na wizra ya afya inafanyiwa nini? Hivi kweli kanisa litakuwa na moyo kutoa pesa wanazopewa na serekali kutoa hoduma za kwa jamii ya kiislam? Mifano midogo tu hapa tunaiona linapokuja swala la msingi makanisa yanapinga. yatakubali kutoa fedha kwa ajili ya maendeleo. AU TUNAPIGWA CHANGA LA MACHO?
unaelewa maana ya nyota na mwezi? Usiwe unapenda kukurupuka soma vizuri ukikosa maana niambie nitajuza. Yesu ni njia ya kweli.