Recent content by NTIKA

  1. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Sitta anafaa kupewa madaraka makubwa na nyeti kuliko haya ya uenyekiti wa Bunge la Katiba?

    Hafai kabisa ni kigeugeu
  2. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Serikali juu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba yamkera Jaji Warioba! Afunguka...

    Serikali haijatenda vema kwa tume,au serikali ilitaka rasimu iandikwe walivyotaka wao?
  3. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 15 asimulia jinsi alivyobakwa na kulawitiwa na baba yake mzazi huko Kimara jijini Dar

    Hakika huyu baba anaongozwa na nguvu za giza anahitaji sala ya toba.
  4. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Nakaaya: Najilaumu kurudisha kadi ya CHADEMA

    Hili ni vunzo kwa vijana wengine,hakika ni wengi wajutao kama Nakaya ila wanaona aibu kusema,sasa Nakaya kawafungulia njia wawahi mapema kuja CHADEMA pakiwa angali mchana peupe
  5. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Urais 2015 kupitia CCM: Mangula amshukia Samwel Sitta...

    Mzee magula amechoka kifikra na pia uwezo wake wa kufanya kazi amekwisha sasa ni wakati wa yeye kuendelea kufanya kitu anachoweza kufanya nacho ni ukulima wa nyanya.
  6. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu ABOUD JUMBE

    Tafadhali jaribu kutohoa maneno yako japokuwa unaongozwa na hasira.
  7. NTIKA

    JamiiForums Tanzania PICHANI; Mnuso wa NGUVU wa MWAKA MPYA MONDULI kwa LOWASSA...

    Pamoja na kulituhumu hili genge,naamini uwezo wao wa uongozi ni mkubwa kuliko waliopo madarakani.
  8. NTIKA

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Hawa vijana wakakojoe walale,hamtutoi nje ya mstari,mkajipange mrudi.
  9. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu - Mwanamboka?

    Huyu Saad Ally alishajitoa,mwenye Mwanamboka Hauliers anaitwa Salum mwenye kufanana na Madiluu sytem.
  10. NTIKA

    JamiiForums Tanzania "Wanaotengeneza ARVs feki nitakufa nao":EFRAHIM KIBONDE

    Anayosema kibonde namuunga mkono ni jimbo lililo wazi kabisa waliofanya jambo hili wachukuliwe hatua kali sana,pia ningemshauri Kibonde asiishie hapo yapo madudu mengi yanafnywa na serikali ya CCM yeye hujaribu kuyakanusha kama vile yeye ni msemaji ya Ikulu, aache kujipendekeza awe mkweli.
  11. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Mr president poses with president of"dr-smiles"

    Dr ni mrembo lakini ni 2 short
  12. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

    Roma kama msanii wa hip hop anayo haki ya kuimba na kutoa mawazo yake na kufikisha ujumbe kwa wanaomsikiliza,tukikumbuka tungo za mwanamuziki galacha la muziki wa regge Hayati Bob Marley alikuwa akiimba nyimbo zenye ujumbe mbali mbali bila kutumwa na mtu bali nafsi yake na nyakati zilimuongoza...
  13. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Msitu wa pande

    Msitu wa pande ni chaka kubwa la kihalifu na watu wetu wengi wamepotelea mule,sasa ni wajibu wa serikali kubadilisha matumizi ya huo msitu, :A S cry: kama serikali wamekataza mashamba pori mjini kwa nini waache huo msitu.
  14. NTIKA

    JamiiForums Tanzania "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Tufike mahali watanzania tukatae kwa nguvu moja wimbi jipya la kutekana na ikiwezekana kuuwana,tukikumbuka mbunge wa ilemela ndg kiwia alinusurika kutolewa uhai,usariva arusha yule mwanachadema mbwambo alichinjwa kama mbuzi,kwa hali hii inaonyesha ni jinsi gani watawala wanaogopa...
  15. NTIKA

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu Wachagga

    Hii safi sana na bado!
Back
Top Bottom