Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

Roma ni sehemu ya m4c jamani hatakama hana kadi ya cdm mimi huyo mtoto namkubali kwani nikama uchanganye zito,lema,kafulila na myika ila ajichunge sana asije akajikuta mambwepande manake msangi bado yuko ofisini
 
Ngoja nimkumbushe kazi moja kati ya nyingi ya fasihi andishi ni
kuburudisha na kuelimisha jamii, kwa namna yoyote msanii anaweza kuifundisha jamii eitha kwa nyimbo na tanzu zngne, kwa hyo Roma yupo sawa kabisa kuifundsha jamii! Mleta mada ovyo na dhaifu kama Chichiemu! Na mzee wake wa kaya!
 
Wananchi walifurahia we ilikuchukiza nn? acha mbwembwe, ishara ya vidole viwili ni victory sign na siyo ishara ya CDM hata viongozi wa nje huionyesha, nanyi magamba mnaweza iga mkitaka, ****
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchin....
NOTHING....Ni wasanii wangapi hutumika katika kampeni za CCM, Kumbua Nature? na wengine kibao kutengeneza nyimbo za CCM na kupanda nao jukwaani au unaongelea harakati za Roma kuendana na itikadi za kuipinga Serikali na mabaya yake yote?
 
roma ni sehemu ya m4c jamani hatakama hana kadi ya cdm mimi huyo mtoto namkubali kwani nikama uchanganye zito,lema,kafulila na myika ila ajichunge sana asije akajikuta mambwepande manake msangi bado yuko ofisini
God forbid, pande nouma, msitu ule ungeongea tungejua mengi
 
hawa hutumiwa na ccm ktk mikutano ya chama nahawafanyi hivyo katika matamasha ya public kama alivyofanya Roma ktk tamasha la Tigo coco beach

Roma hakutaja Chama chochote na ishala ya Vidole viwili ni ishala ya ushindi "VICTORY", Akili ipo lakini haitumiki ipasavyo.
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

acha upumbavu we gamba, kwani msanii ni kioo cha jamii na kazi yake kuelimisha, kuburudisha na kusimumua, yaan m2 akitoa elimu kwa jamii bac ni mfuwac wa cdm. Achen unyanyasaji wa kipumbavu
 
Mr Emmy, mbona wale jamaa wa Radio Imaan huwa wanatoa up.upu mbaya sana lakini wanadunda tu? si afadhali ya huyu jamaa mwenye kukosoa...

Bado wasikiliza Redio zisizojua Tanzania kuna nini na Watanzania tunataka nini? Tupa kule na gazeti flani pia tupa kapuni
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Umeingilia mguu usio! fanyia kazi michango ya wadau!
 
....haiiniingii akilini kama hukumu ya babu sea.
....wagonjwa wanakufa doktor anakunywa value (afanyeje haki zake hapewi)
....digree za kikuda(eti DR..J)

Babu sea alikula nanii ndo maana akatumia mabavu kulipiza. Kuhusu dedree za kikuda mi najua ana Bcom-PASS (2.20 GPA)
 
emmy w n ****, kwanza kabla ya kuja jf na kupresent uzi hasa jf hasa jukwaa hil la siasa ujifikirie mara 2, 2
maana wa2 2na hasira na mijitu kama nyie mnaopotosha umma mkubwa wa watz ambao hawajafunguka kwa maneno yenu mepesimepesi na ya ulaghai kumbe ndani yenu n mbwa mwi2 wakali mnaoimaliza hii nchi tulioachia na mzee nyerere ikiwa haina harufu yoyote ya ufisad.
 
wanabodi taradhali naomba masafa ya hiyo radio iman kwa hapa dar please natamani niwasikilize
 
nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa hip pop nakugundua kuwa msanii roma mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
Leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
we mjinga unajua chimbuko na asili ya hihop?
Je waliomchukua na kumlipa afanye shoo ni chadema au tigo?
Je baada ya uwanja/ukumbi kulipuka kwa shangwe kwa nini ulijisikia vibaya wakati roma ndo alikuwa anakata kiu ya burudani na wananchi kumkubali?
Je unajua maana ya vidole viwili?
Ina maana wale wa misri tunisia na libya nao walitumwa na chadema?(maana nao walionyesha vidole viwili)
usikurupuke kuleta wivu wako na mitazamo yako ya kijinga hapa jf
 
Umenikumbusha bushoke alimsifia jk na ccm pale leaders club akazomewa, na kuna dada kwenye umiss tz akamtolea mfano jk kuwa anaendesha nchi vizuri akazomewa duu, vp ule wimbo wa east zoo mtoto wa jakaya saizi aibu anatamani ufutwe kabisa.
 
Mgonjwa anakufa mapokezi Doctor anakunywa VALUUUU...by ROMA mkatoliki!
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Roma kama msanii wa hip hop anayo haki ya kuimba na kutoa mawazo yake na kufikisha ujumbe kwa wanaomsikiliza,tukikumbuka tungo za mwanamuziki galacha la muziki wa regge Hayati Bob Marley alikuwa akiimba nyimbo zenye ujumbe mbali mbali bila kutumwa na mtu bali nafsi yake na nyakati zilimuongoza kufanya hivyo
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

WEWE Gamba kama huna la kusema heri unyamaze na sisi tutajua upo. Roma Mkatoliki andelea na kumwaga sera
 
"Hip hop has always been political," says Rosa Clemente, a New York-based activist and co-host for WBAI's (99.5 FM/NYC) show, "Where We Live." "Hip hop can be used to show resistance against oppression; that's what it was in the beginning and that's what it continues to be."
 
Fikra dhaifu sana, mi nilidhani Roma alivyo onesha alama ya vidole viwili watu walitaka kumpiga, kumbe waliripuka na kushangilia kweli Roma anajua kuwateka mashabiki wake, na hii ina maanaisha angekuwa ana sifia serikali asinge kuwa msanii bora wa hipp pop Tanzani. Kitu kingine mbona wasanii kibao wanatumia alama ya vidole viwili? hope it means peace and love.

Sasa kama hutaki basi kasikilize TOT na acha wapenda ukweli yani mashabiki wa hipp pop wamshangilie Roma.
 
Back
Top Bottom