Fahamu zaidi kuhusu Wachagga

Tujiulize pia na hayo makabila yanayojua kufanya mapenzi je ndoa zao huwa zinadumu kama ilivyo kwa ndoa za wachaga
 
Wengi wao ni waizi/majambazi.

SIM dhana yako imepitwa na wakati. Kila Mtu anajua ufisadi, wizi, na ujambazi unaoedelea Tanzania. Na haufanywi na wachaga pekeyao , unafanywa na makabila yote mchanganyiko.
 
Umaskini wa Tanzania umechochewa na makabila tuliyonayo, wachaga wanahusika pia na umaskini wetu.Wapo wachaga wanaofikiri kila mahali wanaweza kuanzisha baa,wapo wanaofikiri kila sehemu wanaweza anzisha gereji,kila mahala anaweza akaendesha bajaj,kila sehemu anaweza akachoma kitimoto.,kila mahala..............

Ukweli ni kwamba mambo ya kiTanzania yapo kiloko sababu ya wachaga.Nchi haiendeshwi na wachuuzi na waendesha bajaj
Nchi itaendelea iwapo tu kama watu watatumia akili kutatua matatizo yao ya kijumla na si kibinafsi hii habari sisi wachaga ni hivi au vile naona kama bado tupo kwenye primitive stage .Swali kwa wachaga baada ya miaka 100 bado mtakuwa wachaga na hii kasi ya kujichanganya na kuolewa na makabila mengine?
 
Umaskini wa Tanzania umechochewa na makabila tuliyonayo, wachaga wanahusika pia na umaskini wetu.Wapo wachaga wanaofikiri kila mahali wanaweza kuanzisha baa,wapo wanaofikiri kila sehemu wanaweza anzisha gereji,kila mahala anaweza akaendesha bajaj,kila sehemu anaweza akachoma kitimoto.,kila mahala..............

Ukweli ni kwamba mambo ya kiTanzania yapo kiloko sababu ya wachaga.Nchi haiendeshwi na wachuuzi na waendesha bajaj
Nchi itaendelea iwapo tu kama watu watatumia akili kutatua matatizo yao ya kijumla na si kibinafsi hii habari sisi wachaga ni hivi au vile naona kama bado tupo kwenye primitive stage .Swali kwa wachaga baada ya miaka 100 bado mtakuwa wachaga na hii kasi ya kujichanganya na kuolewa na makabila mengine?

Tutaendelea kuwa wachagga ndugu! hamna jamii iliyochanganyikana kama wayahudi lakini bado wamesimama kama wayahudi. Kwa hulka damu ya kichagga haipotei hata kama amezaa na mwanaume wa kihindi, tunatabia zetu zinazotutambulisha. pole sana msiojali ndugu na hata watoto wenu wa kuwazaa wenyewe.
 
Tutaendelea kuwa wachagga ndugu! hamna jamii iliyochanganyikana kama wayahudi lakini bado wamesimama kama wayahudi. Kwa hulka damu ya kichagga haipotei hata kama amezaa na mwanaume wa kihindi, tunatabia zetu zinazotutambulisha. pole sana msiojali ndugu na hata watoto wenu wa kuwazaa wenyewe.

Una akili fupi sana. 1989 Ndiyo mwaka uliozaliwa siyo?
 
Sifa moja aliyosahau kuiandika mtoa mada ni kwamba,wakati mikoa mingine wananchi wanashikana mashati na viongozi wao kwa kushindwa kujenga vyumba vinne vya madarasa ya shule ya sekondari ya kata, kule Kilimanjaro kata moja ina shule za sekondari sio chini ya tatu, tena kule Rombo ndio balaa zaidi maana shule hizo nyingi ni za ghorofa.
Na ndio maana mwaka jana nilipokuwa nasoma masters hapo mzumbe darasa letu lilikuwa na jumla ya wanafunzi 160 na kati ya hao wachagga walikuwa 142.

Hii safi sana na bado!
 
Aisee! Hivi kumbe wachagga nitishio kiasi hiki?

Sent from my BlackBerry 9630 using JamiiForums
 
Kwani TZ bado ina makabila?? Do you want to take us to Kenya??? Kujadili mada kama hii will not help anything in the problem we are facing in this nation as per today. Can we discuss about the issue of Government v/s Doctors bse our mothers, brothers, sisters etc ar innocently dying due to this crisis...
 
Waliacha sehemu hizo kwa kilimo cha nafaka because mlimani kuna mvua nyingi isiyofaa kwa nafaka kama vile mahindi, maharage na ulezi. Ndizi kahawa,majimbi, vibere, vikwa, mboga za majani, miwa na matunda kadhaa yanahitaji mvua nyingi za mlimani. Watu pia wanahitaji hewa baridi na joto l a wastani lililokuwepo kabla ya climate change. Mlimani kuna maji ya kutosha ya chemchemi na mito hivyo wakaona si busara kukaa kasa kusikokua na maji. Hata hiiyo siku hizi wachaga wamekuwa wengi wanajaribu pia kujenga huko kasa na kufanya makazi ya kudumu.
 
Una akili fupi sana. 1989 Ndiyo mwaka uliozaliwa siyo?

unataka tuogope kuchanganyika na wa tz wenzetu kwa kuogopa uchagga kupotea? TZ kwanza. kama akili zangu fupi zako zaidi. Nimerudia tu ulivyonitukana ndugu, maana nyie mnatafuta wa kuwalaani bila sababu.
 
unataka tuogope kuchanganyika na wa tz wenzetu kwa kuogopa uchagga kupotea? TZ kwanza. kama akili zangu fupi zako zaidi. Nimerudia tu ulivyonitukana ndugu, maana nyie mnatafuta wa kuwalaani bila sababu.

Nonsense,unajichanganya tu.Siamini kama kabila linatengeneza tabia ya mtu,bali mazingira.Unataka kuniambia mchagga aliyezaliwa na kukulia Bukoba atakuwa na tabia zinazofanana na yule aliyezaliwa na kukulia Moshi kwa sababu tu wote ni wachagga?Jipange dogo
 
A
Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania. Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachagga mkoani Kilimanjaro ni 200,000.
Vikundi vya Wachagga
Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Kabila la kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo (ya Kichagga) yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia Mashariki Tarakea, Rombo hadi magharibi ya Kilimanjaro Siha, Machame. Makabila ya Kichagga ni Wa-Rombo, Wa-Marangu, Wa-Old Moshi, Wa-Kibosho, na Wa-Machame. Makundi mengine madogo ya wachagga ni Wakirua-Vunjo, Wa-Uru, na Wa-Siha.
Historia ya elimu kati ya Wachagga
Wachagga wanajulikana kwa uwezo wao mkubwa wa kufanya biashara na pia kilimo. Moshi ni maeneo ya mwanzo ambayo Wamisionari wa Kikristo walijenga makanisa na shule. Sababu hii imefanya Wachagga kuwa kabila lenye watu wengi zaidi walio na elimu ya kisasa na mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kwa idadi ya shule za sekondari nchini Tanzania. Kulingana na takwimu za elimu mkoa wa Kilimanjaro una shule za sekondari zaidi ya 320. Pia mkoa una shule za msingi zipatazo 950. Idadi hii ya shule ni kubwa zaidi ya idadi ya shule katika mikoa mingine Tanzania.
Shule nyingi za sekondari ziko katika mkoa huu kwa sababu zifuatazo: 1) Hali ya hewa na vivutio vya kitalii katika mkoa huu viliwavutia zaidi walowezi na wakoloni na kuweka makazi yao hapo. Hivyo wamishinari walijenga shule za kwanza wakifuatiliwa na serikali za wakoloni 2) Serikali ya Tanzania ilirithi shule zilizojengwa na wakoloni 3) Wachagga waliobahatika kupata fedha binafsi baadaye waliwekeza kwenye ujenzi wa shule binafsi kama kitega-uchumi. Wakati wakazi wa mikoa mingine walisubiri serikali iwajengee shule. 4) Ukichanganya sababu 1,2 & 3 utagundua shule katika mkoa Kilimanjaro vimezidi sana idadi ya shule katika miko mingine yote.
Ni vema pia kusema kwamba shule hizi kuvutia wanafunzi kutoka Tanzania nzima, haziwasomeshi wachagga tu
Kilimo na chakula
Wachagga hulima mazao ya chakula kama vile mahindi, maharagwe,viazi, ndizi, ulezi na mboga mbalimbali. Mazao ya biashara kama vile kahawa, nyanya na vitunguu
Ndizi za Wachagga
Ingawa wachaga wa leo wanakula vyakula mbali mbali kama vile ugali, wali na viazi, chakula kikuu cha Wachagga ni ndizi. Kuna ndizi za aina mbalimbali na hutumika kwa matumiza tofauti. Mfano ndizi kisukari ni fupi na huachwa hadi ziive na huliwa mbivu kama tunda. Ndizi mshare kukatwa zikiwa mbichi na kupikwa chakula mbalimbali pamoja na nyama ya ngombe, kondoo au mbuzi. Mara nyingine hupikwa na maharage, choroko,kunde au hata maziwa ya mtindi. Vyakula vya ndizi huja kwa ladha tofauti kama vile ndizi nyama, mtori, machalari, kiburu na kadhalika.
Aina nyingine ni ndizi-ngombe ambazo huachwa ziive halafu humenywa na kutumiwa kutengenezea pombe maarufu iitwayo mbege. Mbege hutengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu, maji, na ulezi.
Aina nyingine ni ndizi-mzuzu. Hizi zikikomaa huachwa zianze kuiva kidogo halafu huchomwa na kuliwa kama kitafunwa pamoja na chai au pombe. Ukipita mitaa ya Darisalamu utaona ndizi- mzuzu zikichomwa sambamba na muhogo au kuku-vumbi au kiti-moto.
Wachagga na muhogo
Inasemekana kuwa "mchagga halisi, hali muhogo - akila muhogo atakufa". Usemi huu umetokana na historia ya mababu kuwa wachagga waliopanda mihogo Kilimanjaro enzi za kale walikufa baada ya kuila. Historia hiyo yaweza kuwa ya ukweli kwa sababu aina nyingi za mihogo zinajenga sumu ya sianidi ndani yao; watu waliozoea kutumia mihogo huwa na njia za kuondoa sumu kwa kwa kuiloweka mihogo katika maji kwa muda. Lakini kama Wachagga wale wa zamani hasa wa Machame walifanya jaribio bila kujua mbinu ya kuondoa sumu ajali iliweza kutokea. Cha kushangaza ni kwamba huko huko Kilimanjaro, majirani na watani wa wachagga yaani Wapare walikuwa wameshazoea mihogo na ilikuja kuwa moja ya chakula chao kikuu.
Ulaji kiti-moto
Pamoja na kilimo cha mazao, wachagga hupendelea sana kufuga nguruwe. Tabia ya kula nyama ya nguruwe ijulikanayo leo kwa jina la "kiti moto" ni moja ya mambo yaliyoenezwa na wachagga. Ulaji wa "kiti moto" haukupendeza baadhi ya wenyeji wa Pwani kama Dar es Salaam ambapo wachagga walihamia, kwani wakaaji wengi wa Pwani ni Waislamu kwa hiyo nguruwe kwao ni haramu. Wakazi wa Dar es Salaam watokao makabila mengine na wasiyo waisalmu kwao kula nguruwe ilikuwa "ruksa".
Majina ya Kichagga
Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: mfano familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama Kimaro, Swai, Massawe, Mushi, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Meena hutoka Machame. Akina Temu, Mlaki, Mlay, Lyimo, Moshiro, Mselle, Kileo, Kimambo, Tesha wanatoka Old Moshi na Vunjo. Mariki, Tarimo, Laswai, Mallya, Mrema,
Mkenda, Massawe, Lamtey, Tairo, Mramba, Kauki wanatoka Rombo. Sawe, Usiri, Shayo, Kiwelu, Makundi, Urasa, Mtui, Moshi, Meela, Minja, Njau wanatoka Marangu. Rite, Makule, Minja, Mashayo, Chao, Shao, Makawia, Ndesano, Kimario, Tilla, Mariale, Tarimo, Mafole, Kituo, Mrosso, Lyakundia, Kessy, Mmbando, Matemba, Ndenshau, Morio, Akaro, Matowo, Towo, Mkony, Temba na kadhalika hutoka Kibosho.
Wachagga wengi hupenda kurudi nyumbani kipindi cha Krismasi, ikiwa ni kuwatembelea wazazi wao, rafiki, au ndugu. Ingawa wengi hudhani kwamba Wachagga wameathiriwa sana na dini ya Ukristo kwa kuwa wengi wao ni Wakristo na hiki huwa ni kipindi cha likizo kwao, inaaminika pia kuwa kurudi kwao Uchagani wakati wa Krismasi ni pamoja na kutembelea ndugu zao na kujumuika pamoja katika kuumaliza mwaka baada ya kazi nyingi za kutafuta pesa kwa mwaka mzima.
Utawala wa jadi ya Wachagga
Watawala wa kichagga waliitwa "Mangi". Hawa walihodhi mashamba, ngombe na waliheshimiwa kama viongozi wa kikabila. Walikuwa
na nguvu za kisiasa na utajiri. Baadhi ya ma-mangi mashuhuri katika historia ni kama Mangi Rindi aliyeingia mikataba na wakoloni (wajerumani), Mangi Sina wa kibosho - anajulikana kwa uhodari wake wa vita katika kupigana na wamachame na kupora ngombe na mazao yao na Mangi Marealle wa Marangu na Vunjo. Wakoloni walipokuja Kilimanjaro waliingia mikataba na viongozi hawa wa kikabila ili kuweza kuweka misingi yao ya kikoloni. Pia ndugu na watoto wa ma-Mangi walikuwa wa kwanza kupata elimu ya kikoloni, kwa hiyo waliweza kushirikishwa katika serikali za kwanza. Hawa pia wanaaminika walikuwa ni kama mabepari wa kwanza wa ki-jadi, maana walifanyiwa kazi na watu wengine wakati wao ma-mangi wamekaa kuhesabu mali zao. Usemi maarufu wa "u-Mangi-meza" inawezekana kuwa umetokana na watawala hawa wa kichagga.
Ardhi
Ingawa ardhi ni msingi wa maendeleo kwa watu wote, kwa wachagga, ardhi ni mali sana kwa sababu kilimo chao ni cha mazao ya kudumu kama kahawa na ndizi hukaa shambani kwa muda wa miaka mingi. Mojawapo ya urithi wapewayo watoto ni "kihamba". Hii ni sehemu ya ardhi ambayo mtoto anategemewa atajenga na kuanzisha familia yake. Bahati mbaya watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele katika ugawanaji wa vihamba. Uhaba wa ardhi uchagani ulipelekea wachagga wengi kuhamia mikoa mingine. Hivi leo utakuta wachagga wakiishi Dodoma, Morogoro, Iringa, Mbeya nk wakiwa wamepanda migomba yao na kuendesha biashara za maduka ya vyakula. Ukienda kwenye mikoa hii utakuta wamejenga jamii zao na vyama vyao vya kusaidiana wakati wa sherehe au matatizo. Aidha hata pombe ya mbege utaweza kuikuta katika makusanyio ya wachaga mikoani mbali mbali.
Maoni juu ya Wachagga
Ingawa wanaume wa kichagga hupendelea kufanya kazi mbali na kwao, wake zao hukaa nyumbani (Moshi) na hufuga ngombe na kazi za shambani. ila kwa sasa kutokana na ugonjwa wa ukimwi tabia hii imepungua miongon mwao. Wanawake wa kichagga (hasa kutoka
Rombo) hujulikana kama wafanyakazi hodari. Huchangia sana katika mapato ya nyumbani na chakula. Ingawa kipato cha wachaga ni kikubwa kulinganisha na cha makabila mengine, takwimu zinaonyesha watoto wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa kuongoza kwa utapiamlo. Sababu kubwa ya watoto kuwa na utapiamlo kunatokana na wazazi kujali zaidi kazi kuliko muda wa kuwahudumia watoto. Wengi wa wototo ni wale ambao wazazi wao ni watu wapombe na kipato chao kinaishia kilabuni. Utaona kwamba uchagani kuna vilabu vingi vya pombe na vinaongezeka kwa sababu imekuwa nibiashara kubwa. Karibu kila kaya kumi natano kuna kila cha pombe na kiwango cha chini kabisa cha pombe inayouzwa kwa siku katika vilabu hivyo si chini ya dede sita au lita mia moja. Pombe ni sababu moja ya watoto kuwa na utapiamlo Hii inawezekana kuwa matunda ya wazazi kutowalisha watoto wao chakula cha kutosha au chakula bora. Kuna sehemu nyingine za Uchaggani kama Old Moshi na Kibosho ambapo watoto wadogo hupewa pombe ya mbege asubuhi mchana na jioni. Sababu nyingi ni kazi; mama wa kichagga anaweza kushinda shambani kutwa na hawana desturi ya kubeba watoto mgongoni kwenda nao shambani hivyo wanakuwa nyumbani ama wenyewe au na mayaya. Mfano ulio dhahiri ni nyakati za asubuhi na mapema kwenye vyombo vya usafiri karibu robo tatu ya abiria ni wanawake wakienda katika shuguli za kibiashara na kilimo na vivyo hivyo nyakati za jioni wakirudi majumbani. Hao ni nje ya wale wanaotumia usafiri wa miguu ambao ni wengi zaidi. Pia baadhi ya wamama wa kichaga wanawajali waume zao zaidi kwani nyama nzuri ni ya baba. Kuepuka gharama baba ataandaliwa chakula kizuri tofauti na chakulawalichoandaliwa watoto japo ni chakula kilekile.

CHANZO : Wachagga - Wikipedia, kamusi elezo huru

Asante.
 
Nonsense,unajichanganya tu.Siamini kama kabila linatengeneza tabia ya mtu,bali mazingira.Unataka kuniambia mchagga aliyezaliwa na kukulia Bukoba atakuwa na tabia zinazofanana na yule aliyezaliwa na kukulia Moshi kwa sababu tu wote ni wachagga?Jipange dogo[/QUOT

kama ww ni mkazi wa Kagera nenda Kyaka na maeneo mengine uone jinsi Mangi anavyochacharika bila kusahau utengenezaji na unywaji wa pombe yetu maarufu ya mbege! Bukoba, Moshi unamaanisha mikoa au? kiazi kweli ww.
 
Nimeenda wilaya moja iliyoko mwishoni mwa Tanzania, mbali kabisa na asili ya wachagga, wilaya ya Ngara mkoani kagera imepakana na Burundi na Rwanda, nimekuta huku matajiri wakuu wanaoendesha hii wilaya ni wachaga. Yuko bwana mmoja anaitwa Mboya na mwingine anaitwa Temu. Nimekuja tena hapa Sengerema wilaya iliyoko mkoani Mwanza tajiri mkubwa hapa anaitwa Mosha. Nadhani haya yote ni majina ya wachagga.
 
kama ww ni mkazi wa Kagera nenda Kyaka na maeneo mengine uone jinsi Mangi anavyochacharika bila kusahau utengenezaji na unywaji wa pombe yetu maarufu ya mbege!Bukoba, Moshi unamaanisha mikoa au? kiazi kweli ww.[/QUOTE]

Angalia unavyoendelea kuonesha utoto wako.Hivi unasoma vizuri kabla ya kujibu?Ngoja nikuache,1989 nilikuwa standard three!!
 
Kwani TZ bado ina makabila?? Do you want to take us to Kenya??? Kujadili mada kama hii will not help anything in the problem we are facing in this nation as per today. Can we discuss about the issue of Government v/s Doctors bse our mothers, brothers, sisters etc ar innocently dying due to this crisis...
This thread is updated every time b'se i started it before the current controversial issue of Drs. vs. The Government.
 
Namba tatu weka data mkuu bse ua argument is still vague! Is it a research or hearsay??

Nina maswali 3 juu ya wachaga??

1-kwa nini wachaga wanapenda sana chapaa?

2-kwanini wachaga wa siku hizi wamejiingiza sana ktk vitendo vya ushoga?

3-kwa nini wachaga wengi wanaongoza kuwa na ma sugar mummy?​


Vipi kuhusu namba mbili,mmejiridhisha na kuridhika nayo kwamba wengi wenu siku hizi mmekua mbuzi wa shughuli mna miili ya simba lakini vitendo vya farasi kutwa kupandwa?mmeyajulia wapi haya nyie wabara!mambo ya kuiga yana tabu sana
 
Vipi kuhusu namba mbili,mmejiridhisha na kuridhika nayo kwamba wengi wenu siku hizi mmekua mbuzi wa shughuli mna miili ya simba lakini vitendo vya farasi kutwa kupandwa?mmeyajulia wapi haya nyie wabara!mambo ya kuiga yana tabu sana
Kuna mtu kaulizwa kuhusu no mbili na katolea ufafanuzi na hakua na data.......kama unazo data weka hapa cio kubweka tu.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom