"Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

"Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

Mimi kinachonishangaza ni hiki, kwanini CHADEMA wanashangilia sana huu mgomo wa madaktari? kuna nini hapa jamani.

Mi nilidhani ungesema kwanini viongozi wa ccm hawaoneshi kuupinga huu mgomo bali wanaushadadia?!
 
sisiemu wameshaanza propaganda zao haya sasa wameangukia pua
 
Nashindwa kuelewa ni kwa nini waunde tume wakati wangeweza kuifuatilia namba ya simu ya mwisho kuongea na Dr uli. Siungi mkono mgomo wa madaktari kwa namna yeyote ile, ila wasiwasi wangu Dr anaweza kuja kulipa kisasa pindi atakapo pona kama watumishi wa mungu wasipomuombea mapema kwani kwa jinsi walivyompiga hata kama ningekuwa mimi lazima ningelipa kisasi na hapo ndio wasiwasi wangu hili taifa linaelekea wapi! mungu ibariki Tanzania ila usiwabariki viongozi wake kwani ndio wanaiharibu nchi hii
 
Hiyo sara ya hapo chini nimeipenda.
 
Naumia sana nikisikia " dr. Ulimboka kapigwa na watu wasiojulikana". Jamani hata kama watanzania ni wajinga sana, lakini si kwa kiasi hiki. Wakuu acheni kutubeza. Aliyefanya haya anajulikana. Mnatupeleka wapi Watanzania ? Plz plz plz hatutaki siasa za mitindo hii. Tunataka ukweli!
 
CHADEMA mpo ?? Haya MADUDU yanayotokea kwa mpinzani wako naomba yawe njia rahisi ya ninyi kuzoa kura 2015. Mwakyembe's NOW Dr. Ulimboka PLUS ufisadi, kagoda, EPA , meremeta, report ya CAG 2012, nk nk nk haviwatoshi tu ?
 
Hili laweza kuwa kweli, wamejitahidi sana kuunganisha mgomo wa hawa madaktari na siasa,lakini imeshindikana. Ndio maana hata mimi napinga kabisa viongozi wa CDM kutaka kujihusisha na madaktari kwa faida za kisiasa, waacheni wagome kama professionals na sio kisiasa!

nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia mia moja kwamba professional ya madokta isichanganywe na wanasiasa na wanasiasa wasiingilie moja kwa moja mgomo huu ili kuondoa fikra na sababu za watawala kwamba mgomo huu una mkono wa wanasiasa na hasa CDM. Lakini vilevile si rahisi kutenganisha sababu za msingi za mgomo huu toka kwa haya makundi mawili. Yote yamekuwa yakizungumzia kwa kina uboreshaji wa sekta ya afya kwa miaka kadhaa sasa huku serikali ikitekeleza kwa kiasi kidogo baadhi ya maeneo na maeneo mengine mengi kutotekelezwa kabisa huku yakiwepo malalamiko ya maliasili za Taifa kuwanufaisha wenye nchi na wananchi wakibaki hoi
 
Hili laweza kuwa kweli, wamejitahidi sana kuunganisha mgomo wa hawa madaktari na siasa,lakini imeshindikana. Ndio maana hata mimi napinga kabisa viongozi wa CDM kutaka kujihusisha na madaktari kwa faida za kisiasa, waacheni wagome kama professionals na sio kisiasa!
Useful post. Thank you buddy.
 
Magazeti na radio acheni kutumia neno " Dr. Ulimboka kapigwa na watu wasiojulikana".
Inatuuma saaaanaaaa kusikia tamko hilo linavyopotosha. MNATUMIKA ??
 
Nasikia kina Msangi walikuwa wanamlazimisha akubali kuwa CDM wako nyuma yao..."Sema nani?tuaambie...."Ndiyo yalikuwa maswali yao ndio maana wakammaliza kucha zote na meno ili aseme!hawakupata kitu!

Pia nimepata mpya kuwa walimpitisha kwenye kota za polisi(DR Uli akirudi)ataelezea zaidi!tumuombee apone haraka!

Hawana pa kujificha ukweli uko wazi"liwalo na liwe"tafsiri tata yenye maana baada Uli kutokufa kama mpango mkakati ulivyotaka!aibu!
 
Mimi kinachonishangaza ni hiki, kwanini CHADEMA wanashangilia sana huu mgomo wa madaktari? kuna nini hapa jamani.

Sidhani kama Chadema wanashangilia mgomo kwa namna unavyofikiri, wao kama chama cha siasa wanachoshangilia ni kuonyesha kwamba serikali ya CCM ina uongozi mbaya na ufisadi unaoeletelea matatizo kama haya. Serikali makini inakuwa na hela za kutosha na busara za kuzuia migogoro kama hii. Kutojua jinsi ya kushughulikia matatizo ya wananchi ndicho kililetelea kuangushwa kwa serikali kama ya Tunisia.

Angalia kwamba kwa mara ya kwanza kutokana na ukosefu wa busara wa viongozi walioko madarakani tuna dalili za migogoro katika kila sehemu; muungano, udini, wafanyakazi, ufisadi, tatizo na Wamerekani, bungeni, uwajibikaji wa viongozi kama mawaziri, kupeana sumu na kuuana nk
 
Nashindwa kuelewa ni kwa nini waunde tume wakati wangeweza kuifuatilia namba ya simu ya mwisho kuongea na Dr uli. Siungi mkono mgomo wa madaktari kwa namna yeyote ile, ila wasiwasi wangu Dr anaweza kuja kulipa kisasa pindi atakapo pona kama watumishi wa mungu wasipomuombea mapema kwani kwa jinsi walivyompiga hata kama ningekuwa mimi lazima ningelipa kisasi na hapo ndio wasiwasi wangu hili taifa linaelekea wapi! mungu ibariki Tanzania ila usiwabariki viongozi wake kwani ndio wanaiharibu nchi hii
Wewe nawe unaongea uharo tu na matapishi.dunia mzima hii system ni Hiyohiyo lazima tumescent iundwe.nahisi Hauna uelewa wa kutosha,ndio Nyie mnagoma kufuata mkumbo huku roho haitaki.
 
Tufike mahali watanzania tukatae kwa nguvu moja wimbi jipya la kutekana na ikiwezekana kuuwana,tukikumbuka mbunge wa ilemela ndg kiwia alinusurika kutolewa uhai,usariva arusha yule mwanachadema mbwambo alichinjwa kama mbuzi,kwa hali hii inaonyesha ni jinsi gani watawala wanaogopa mabadiliko,kama kweli tunavyombo mahususi vya kipelelezi, vilipaswa kutumia njia makini za kujua nyuma ya mgomo wa madaktari kama kuna mtu au watu wanao chochea sio kutumia njia dhahifu na za kinyama kama zilizotumika kwa dr ulimboka
 
Back
Top Bottom