"Wanaotengeneza ARVs feki nitakufa nao":EFRAHIM KIBONDE

kwahiyo wanafunzi wanaolala njaa na kuamua kuandamana kudai haki zao mbona kibonde anawakashifu, mbona madaktari wakidai huduma bora kwa wagonjwa mahospitalin kibonde anawatukama, mi simungi mkono huyu kama nae ni kati ya walio bwia hizi arv feki ndo ajue kua watanzania tunamatatizo na asizalau tatizo la mtu

kumbuka hapa anaongelea wagonjwa wanaojaribu kuongeza uhai wao kwa dawa ambazo kumbe ni feki..tumuunge mkono kaongea kwa uchungu sana.
 
Kibonde katumwa na Salva? CCM ni wahuni, yule Madabida si ndo wamempa uenyekiti wa mkoa wa Dar? Then leo wanafungia kiwanda?
Sanaa at the highest level

Leka Dutigite na ARV zetu na inaonekana Kibonde atakuwa kashameza nyingi sana.
 
Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa HIV/AIDS...Akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza ARVs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

Kwa niaba ya JF natoa pongezi kwa ndugu yetu Kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.

Apambane nao kama nani........... aanze na hao anaowaramba vikwapa na kukandya watafuta haki
 
Angeanzia kupambana na dawa fake za malaria,ambazo kwa miaka kibao zimezagaa sana hapa nchini,akimalizana ndio ahamie ARV maana vita yake atakuwa anapigana na wanaowalinda hapo walipo na vibarua vyao!sidhani kama analijua hilo!
 
Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa HIV/AIDS...Akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza ARVs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

Kwa niaba ya JF natoa pongezi kwa ndugu yetu Kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.

kwani kameza?
 
tumuunge mkono ndugu..anaonekana amedhamilia kweli kweli kupambana 'ama zake ama zao'.

mchumia tumbo huyo hana lolote,waliofanya haya mtandao wao ni mkubwa sana,anaropoka tu huyo,kama ni mtu mwenye uchungu mbona yupo mbele kuwabeza wale wenye kupambana kwa dhati???hana lolote huyo kwakua yamemkuta ndio maana anaanza kubwabwaja hana hiyo nguvu,chamsingi abadili dozi atumie za ulaya zinazouzwa aachane na za bure.
 
Coz na yeye ni mmoja wa anaezitumia hizo dawa, siamini kama angekuwa sio mtumiaji wa hizo ARVs kama angelisimamia hivyo, anyway nampongeza na ngoja tuone atakavyopambana nao

tumuunge mkono kwa kweli..kama ungemsikiliza alivyokuwa anaongea kwa uchungu ingekugusa sana ndugu..anaonyesha kweli kadhamiria kupambana na waharifu hawa.
 
tumuunge mkono ndugu..anaonekana amedhamilia kweli kweli kupambana 'ama zake ama zao'.

Yeye mambo ya msingi yanayoigusa nchi yakiongelewa analeta mzaha na masihala na kuwabeza watu wanaotaka kuisahihisha serikali, swala la madaktari aliliongelea negative sana, sasa kameza feki kaona siku zinaanza kuhesabika tofauti na hesabu zake.

kama anataka kupambana njia ni rahisi, awahamasishe wangonjwa wenzake kila mmoja aandae sindano mbili zilizojaa damu na waandamane kwenda ikulu kushinikiza wote wanaohusika wachukuliwe hatua, yeyote atakayesimama in between ni kumdunga na sindano hiyo yenye damu. Huo ndio msaada mkubwa ninaoweza kumpatia.

au unasemaje Mtambuzi na Pasco
 
Last edited by a moderator:
Coz na yeye ni mmoja wa anaezitumia hizo dawa, siamini kama angekuwa sio mtumiaji wa hizo ARVs kama angelisimamia hivyo, anyway nampongeza na ngoja tuone atakavyopambana nao
Mkuu mambo yote hayo wewe umeyajuaje?

Una uhakika gani kama ni kweli?

Kwani kila mtu anapotetea jambo ni lazima awe na maslahi nalo moja kwa moja?
 
Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa HIV/AIDS...Akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza ARVs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

Kwa niaba ya JF natoa pongezi kwa ndugu yetu Kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.

Anayosema kibonde namuunga mkono ni jimbo lililo wazi kabisa waliofanya jambo hili wachukuliwe hatua kali sana,pia ningemshauri Kibonde asiishie hapo yapo madudu mengi yanafnywa na serikali ya CCM yeye hujaribu kuyakanusha kama vile yeye ni msemaji ya Ikulu, aache kujipendekeza awe mkweli.
 
mtangazaji machachari wa kipindi cha jahazi cha clouds fm..efrahim kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa hiv/aids...akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza arvs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

Kwa niaba ya jf natoa pongezi kwa ndugu yetu kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.

leo yamemkuta kibonde
kila la heri kibonde katika hayo mapambano
 
Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa HIV/AIDS...Akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza ARVs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

Kwa niaba ya JF natoa pongezi kwa ndugu yetu Kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.

Hana umachachari wowote zaidi ya ukichwa nazi tu ..na nilazima awe mkali kwa sababu inamuhusu moja kwa moja ..usikute nae kesha bwia hizo ARV bandia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom