Rais Mstaafu ABOUD JUMBE

Rais Mstaafu ABOUD JUMBE

Jumbe alikuwa mkweli, siyo huyu wa sasa hataki kusema ukweli!
 
DSC04211.jpg
Kibunago & Mbuzi Mzee:

Naomba utambulisho wa hawa katika picha hii:
wa kwanza kutoka kushoto?
wa pili kutoka kushoto?
wa tatu kutoka kushoto?
wa kwanza kulia?
Mstari wote wa nyuma? (except Mama Mogela & Maali Seif)
 
Last edited by a moderator:
Kibunago & Mbuzi Mzee:

Naomba utambulisho wa hawa katika picha hii:
wa kwanza kutoka kushoto?
wa pili kutoka kushoto?
wa tatu kutoka kushoto?
wa kwanza kulia?
Mstari wote wa nyuma? (except Mama Mogela & Maali Seif)

Kibunago & Mbuzi Mzee & Baba_Enock
Kamati kuu ya CCM kabla ya "Generation Magamba"

Nyuma toka mashoto:

Major General Abdallah Said NATEPE(RIP); Dr Salim Ahmed Salim; Getrude Mongella; Maalim Seif Sharif Khamad; Colonel Seif Bakari (RIP); Dawood Mwakawago (RIP): Colonel Moses Mnauye(RIP); Paolo Sozigwa

Mbele toka mashoto:

Dr Salmin Amour Jumaa;??????;Hassan Nassoro Moyo;Edward Moringe Sokoine(RIP); Aboud Jumbe Mwinyi; Julius Kambarage Nyerere(RIP); Rashid Mfaume Kawawa(RIP); Cleopa David Msuya; Kingunge Ngombale Mwiru

DSC04211.jpg
 
huyo hakustaafu alitekwa na kuhifadhiwa humo kigamboni mpaka leo hii kisa muungano mavi unaotusumbua mpaka leo.

Tafadhali jaribu kutohoa maneno yako japokuwa unaongozwa na hasira.
 
Alitekwa kivipi?
wakati akiwa raisi wa zanzibar alisaini mkataba fulani wa kuuvunja muungano bahati mbaya maalim seif sharif hamad akauiba na kumpelekea nyerere jumbe akaitwa ghafla dodoma akiwa yeye na meja fulani wa jeshi jina limenitoka kuanzia hapo uraisi ikawa ndio mwisho na akawekwa kigamboni aishipo hadi sasa na ndio ulikuwa mwisho wa uraisi wake.yule mwanajeshi hadi leo haijulikani mahali alipo.sasa hii inatofauti gani na kutekwa mkuu tukutuku.
 
Sawa mkuu nimekusoma vizuri sana!
 
huyo hakustaafu alitekwa na kuhifadhiwa humo kigamboni mpaka leo hii kisa muungano mavi unaotusumbua mpaka leo.

mbona mwenyewe habanduki tz? Si aende kwao zenj kama alikuwa anamaanisha kweli?
 
Sitaki kuongelea hayo mengine lakini hapo kwenye RED umenishangaza
kidogo. Kwani kabla ya hapo alikuwa akiishi wapi?...
 
alikuwa raisi wa zanzibar na hata kama alikuwa akiishi kigamboni baada ya kuvuliwa uraisi nyumba yake iligeuka kama kifungoni hadi leo.
 
mbona mwenyewe habanduki tz? Si aende kwao zenj kama alikuwa anamaanisha kweli?
pale aliwekwa kizuizini toka alipovuliwa uraisi wake,na kulingana na misimamo yake wasingeweza kumwacha aende zanzibar kwani walihisi angeweza kuamsha mavugu vugu mengine.
 
pic2b.gif

wakuu natafufa mke.niambieni huyu mtoto mrembo wa mwisho kabisa kulia anaitwa nani na yuko wapi wakati huu.dah nimevutiwa nae sana.hakika ni mrembo.:mwaaah:
 
Mzee Aboud Jumbe amepumzika nyumbani kwake Mji Mwema-Kigamboni, ila macho ndio yanamsumbua.
 
huyo ni IDRISA ABDUL WAKIL
Huyo mzee alieko katikati ya Mwinyi na Komandoo Salimin Amour ndo nani tena maana katika histori yangu atakuwa ni rais ambae hakutajwa sana kwenye maskio ya watu wengi sana
 
huyo hakustaafu alitekwa na kuhifadhiwa humo kigamboni mpaka leo hii kisa muungano mavi unaotusumbua mpaka leo.

Hahahahaah! Duh !! afadhali wewe umesema maana nilikuwa naogopa kusema, Ni kweli kabisaaaaaaaaa!!! Yupo kizuizini mpk leo tangu lilipojulikana anataka Kuvunja Muungano.
 
Back
Top Bottom