Sijui ni kwa nn wanajf tumekuwa wagumu kumuelewa mtoa hoja,na zaidi amejitahidi kuelewesha vizuri.Ni ukweli uliowazi kwamba tuliowengi humu ni ama mashabiki,wafuasi ama wapenzi wa CDM,hilo si tatizo hata kidogo.Shida niionayo ni pale fikra zetu,mawazo yetu na utashi wetu unapofungwa na mapenzi...