Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

Mkuu kama nawaona vile yaani pale pembeni kakaa1.Nassari2.Eche3.Kilewo4.Gwakisa5.Nanyaro6.Ben wa saanane7.Dady igogo8.ChagulaniHawa ni sura mpya za cdm ndani ya mjengoni 2015 ambazo ninaamini zitaingia kwa gharama yoyote ile kutokana na uthubutu wao

Magamba wana kazi manake hizo spidi za akina joshua nassari,Ben Saanane,john heche na chagulani hazizuiliki.kuna edward kinabo na yule kijana mwingine wa washa taa mchana.Saanane amejenga mtandao mkubwa sana kwa vyombo vya habari na mitaa mingi ya dar,bavicha ilimpatia nguvu,ana mvuto mzuri wa kisiasa inavyoonekana.inabidi aendelee kujiimarisha na kujifua kikamilifu.steven owawa asisahaulike.joshua nassari anaweza kuingia hata kabla ya 2015 mbunge wake yuko mahtuti siombeei lakini tunaweza kutinga kwenye chaguzi ndogo soon
 
Magamba wana kazi manake hizo spidi za akina joshua nassari,Ben Saanane,john heche na chagulani hazizuiliki.kuna edward kinabo na yule kijana mwingine wa washa taa mchana.Saanane amejenga mtandao mkubwa sana kwa vyombo vya habari na mitaa mingi ya dar,bavicha ilimpatia nguvu,ana mvuto mzuri wa kisiasa inavyoonekana.inabidi aendelee kujiimarisha na kujifua kikamilifu.steven owawa asisahaulike.joshua nassari anaweza kuingia hata kabla ya 2015 mbunge wake yuko mahtuti siombeei lakini tunaweza kutinga kwenye chaguzi ndogo soon
Tuombe mungu awaweke hai wote niliyo wataja maana ni waukweli akina chagulani, saanane, kilewo, kinabo,gwakisa, nassari, igogo hawa wote wanafaa ila kama kuna mtu mwenye CV zao azike hapa tuzijadili
 
Mdee - Mbunge mwanamke pekee wa jimbo chadema
Amembwaga mwenyekiti wa chama (nccr) jimboni kawe
 
vijana 15 bora wenye nguvu chadema hawa hapa:-


  1. zitto kabwe
    • naibu katibu mkuu.
    • mbunge – kigoma kaskz – 2005 – hadi sasa.
    • mshauri wa rais wa ujerumani masuala ya kiuchumi – sahara.
    • ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya chama.
  2. john mnyika
    • mkurugenzi wa vijana kwa miaka 6.
    • mkurugenzi wa mambo ya nje hadi sasa.
    • amekaimishwa ukatibu mkuu mara nyingi.
    • mbunge wa ubungo – 2010 hadi sasa.
    • yupo focused.
    • hana ushawishi ndani ya chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. john heche.
    • diwani wa tarime mjini – 2008 – 2010.
    • alibebwa na uchaguzi wa marudio.
    • ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya chama ingawa hana cheo chochote.
    • aligombea uenyekiti wa vijana – akaangushwa na kafulila.
  4. halima mdee.
    • mbunge – 2005 – hadi sasa (viti maalum & kawe)
    • ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya chama.
    • ana uthubutu mkubwa sana..
  5. dady igogo.
    • afisa wa chama.
    • m/kiti wa kamati ya wagombea kwenye timu ya taifa ya kampeni.
    • aligombea unyekiti wa bavicha – akaangushwa na kafulila.
    • ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
    • ana ushawishi kwa vijana wa chadema.
  6. regia mtema.
    • ni mbunge 2010 – (viti maalum)
    • aligombea jimbo la kilombero.
    • ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • ni afisa wa chama.
    • anakubalika na kundi la vijana wa kike.


  1. ezekiel wenje
    • mbunge wa nyamagana.
    • ana uthubutu.
    • yupo focused.
    • amebebwa na uchaguzi wa nyamagana – 2010.



  1. habib mchange.
    • amebebwa na siasa za makundi sana.
    • ana ushawishi sana kwa vijana.
    • ana mikakati, yuko focused.
    • aligombea jimbo la kibaha – 2010 akapata > 40%
    • ana uthubutu + anakubalika.
    • ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – udom.


  1. david silinde.
    • mbunge wa mbozi magh. 2010 – hadi sasa.
    • ana uthubutu


  1. john mrema.
    • ni mkurugenzi wa bunge & halmashauri.
    • aligombea ubunge jimbo la vunjo.
    • yupo strategic na focused.
    • ana uthubutu.
    • amebebwa sana na siasa za makundi.

wengine ni:-

  1. vincent nyerere.
  2. owawa steven
  3. burton gwakisa.
  4. mwakajila emanuel
  5. mhonga said ruhwanywa.

hii mada yako uliiandika mwaka gani mkuu maana unaposema john heche aligombea uenyekiti wa vijana chadema ila
akaangushwa na kafulila nakuwa sikuelewi!! Maana john heche sasa ndo mwenyekiti wa vijana na huyo kafulila ni mbunge wa nccr huko kigoma,
sasa hapa unataka kutwambia kafulila ndiye mwenyekiti wa vijana chadema??? Au siasa hata uielewi inaelekea wapi? Sasa kama ndiyo hivyo sasa tuambie john heche ana wadhifa gani ndani ya chadema sasa.
Tunaomba uwe makini na topic zako, jf hatudanganyiki hivyo, be sirious???
 
Wanaifanyia nini CHADEMA yao na TAIFA hili? Wengi wao( kama sio wote!) ni wawekezaji tu kwenye SIASA.
 
Hapo mwenye afadhali ni Zitto tu wengine wote ni uharoooooo.
 
akae namba ngapi?

sugu hafai kuwa hata kwenye top 100 kwa vile hana ushawishi wa kisiasa kwani hata jimboni ameshinda kifluke tu na sasa hakubaliki tena jimboni kwani wamemuona hafai kutokana na mambo yake ya kukurupuka na kutoa kauli za ajabu ajabu. Huyu Mh. 2015 atauskia tu ubunge kwani hata chama chake tetesi zinasema hawamtaki tena. Huyu anaongoza kwenye KUVUTA BANGI.
 
  1. Regia Mtema.huyu hafai hata akibaki pekee yake chamani,ni mpenda majungu,makundi na anapenda cheap popularity...weka LEMA pale nafasi yake.otherwise the list is Good
 
Kifupi labda ufafanue wana nguvu zipi huko Chadema.

Mimi nanavyojua wenyenguvu kipesa katika chadema na ndio wamiliki wakuu ni
Mzee Edwin Mtei
Mzee Bob Makani
Mzee Ndesamburo
Freeman Mbowe.
 
VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-


  1. Zitto Kabwe
    • Naibu Katibu Mkuu.
    • Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
    • Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
    • Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
  2. John Mnyika
    • Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
    • Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
    • Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
    • Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
    • Yupo focused.
    • Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. John Heche.
    • Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
    • Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
    • Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
    • Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
  4. Halima Mdee.
    • Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
    • Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
    • Ana uthubutu mkubwa sana..
  5. Dady Igogo.
    • Afisa wa Chama.
    • M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
    • Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
    • Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
    • Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
  6. Regia Mtema.
    • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
    • Aligombea jimbo la Kilombero.
    • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • Ni Afisa wa Chama.
    • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.


  1. Ezekiel Wenje
    • Mbunge wa Nyamagana.
    • Ana uthubutu.
    • Yupo focused.
    • Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.



  1. Habib Mchange.
    • Amebebwa na siasa za makundi sana.
    • Ana ushawishi sana kwa vijana.
    • Ana mikakati, yuko focused.
    • Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
    • Ana uthubutu + anakubalika.
    • Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.


  1. David Silinde.
    • Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
    • Ana uthubutu


  1. John Mrema.
    • Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
    • Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
    • Yupo Strategic na focused.
    • Ana uthubutu.
    • Amebebwa sana na siasa za makundi.

Wengine ni:-

  1. Vincent Nyerere.
  2. Owawa Steven
  3. Burton Gwakisa.
  4. Mwakajila Emanuel
  5. Mhonga Said Ruhwanywa.


kuna majembe mawili hapo umeyasahau nayo ni tundu lissu na grayson manyori nyakarungu
 
VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-


  1. Zitto Kabwe
    • Naibu Katibu Mkuu.
    • Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
    • Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
    • Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
  2. John Mnyika
    • Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
    • Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
    • Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
    • Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
    • Yupo focused.
    • Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. John Heche.
    • Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
    • Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
    • Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
    • Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
  4. Halima Mdee.
    • Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
    • Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
    • Ana uthubutu mkubwa sana..
  5. Dady Igogo.
    • Afisa wa Chama.
    • M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
    • Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
    • Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
    • Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
  6. Regia Mtema.
    • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
    • Aligombea jimbo la Kilombero.
    • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • Ni Afisa wa Chama.
    • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.
  1. Ezekiel Wenje
    • Mbunge wa Nyamagana.
    • Ana uthubutu.
    • Yupo focused.
    • Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.

  1. Habib Mchange.
    • Amebebwa na siasa za makundi sana.
    • Ana ushawishi sana kwa vijana.
    • Ana mikakati, yuko focused.
    • Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
    • Ana uthubutu + anakubalika.
    • Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.
  1. David Silinde.
    • Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
    • Ana uthubutu
  1. John Mrema.
    • Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
    • Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
    • Yupo Strategic na focused.
    • Ana uthubutu.
    • Amebebwa sana na siasa za makundi.
Wengine ni:-
  1. Vincent Nyerere.
  2. Owawa Steven
  3. Burton Gwakisa.
  4. Mwakajila Emanuel
  5. Mhonga Said Ruhwanywa.

Si udini lakini ..hiyo list inajieleza yenyewe
 
Si udini lakini ..hiyo list inajieleza yenyewe
Foolish..kwa hyo ccm ni chama cha waislam?..km mna uthubutu waondoeni kwa ukristo wao akina Ben mkapa,EL, Malecela, Mukama, Nape, esther .alaya, john k, nchemba, mangula philip, sitta, mwakyembe,membe,magufuli,prof a. Tibaijuka etc etc..uone! Acha siasa za kibaguzi..! Nyambaf.
 
Unajua malecela ni kamanda wa chipukizi wa ccm? Yani sio hata uvccm, ni chipukizi.....yani yeye ni kamanda wa watoto wa ccm...hahahahaaaa!
Kijana ni umri wa miaka mingapi mpaka ngapi?

Sisi UVCCM ukifika 31 wewe siyo kijana tena - UVCHADEMA je?
 
Hauwezi kutaja majembe vijana ndani y CDM ukamuacha Godbles Lema MB Arusha mjini,pia hauwez kwepa kumtaja Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu hawa watu wanaushawishi mkubwa.
 
Kijana ni umri wa miaka mingapi mpaka ngapi?

Sisi UVCCM ukifika 31 wewe siyo kijana tena - UVCHADEMA je?
Aa wapi hata JK mlisema ni kijana wa miaka 55 miaka anagombea na mkambeba.
Nchimbi naye ni kijana kwenu.
Nimekumbuka katika msafara wa kwenda Pyongyang miaka hiyo baba yake Nape over 55 alikuwa "kijana"
magamba ni mchanganyiko
 
Si udini lakini ..hiyo list inajieleza yenyewe

No umekosea hapo wapo mchanganyiko mbona Halima mdee,Zitto kabwe n dat gal Said wote waislam
Msifanye hvyo wote wamoja wakristo na waislama
Iachen CHADEMA jaman majungu hayafai
 
Back
Top Bottom