AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,033
Wanaharakati wote wanaoitakia Tanzania mema, Ratiba ya maandamano yetu bado yapo pale pale. tumebaini pia kwamba, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete Atakuwepo Washington DC katika maadhimisho ya miaka 50 ya Piece Corps. Tunafanya taratibu za kumfuata huko nako. Kaeni mkao wa kula, tutawataarifuni namna ya kukabiliana naye, hata tukiwa na wawakilishi 10, ni bora, kwani uwezo wao kufikisha ujumbe wetu utakuwa mkubwa sana. Tayari makamanda 12 wanajitolea kuandamana...Tupo kwenye hatua ya hawali na hapo kesho tutawapeni mpango kamili.....ila DICOTA bado pale pale Ratiba yake ni tarehe 13/9/2011
Huo ndio ukombozi wa kweli wakati walalahoi wakijikongoja Bongo kuikomboa nchi na nyie Mlio Nje tuungeni Mkono hata ikibidi muweke Kambi nje ya Hotel atakayopangiwa na Mwarabu wake anayemuhonga suti Fanyeni hivyo. Na kama ikiwezekana mrudisheni huku Bongo maana anatutia aibu kwa kuombaomba kwake, hana hata aibu. hata mkiwa watu 3 mmeandamana lakini ujembe lazima ufike sehemu yake. Saaaafi sana Mwingereza. I wish was there